QURAN

Sandwich
AINA SABA ZA VIRAA VYA USOMAJI WA QURAN

Post hii inakwenda kukuorodheshea aina saba za viraka vya usomaji wa Quran.

Sandwich
KWA NAMNA GANI NABII MUSA NA BI MARIAM WALIWEZA KUZUNGUMZA NA ALLAH NYUMA YA PAZIA

Nabii Musa na Mama yake nabii Isa bi Mariam waliweza kuwasiliana na Allah nyuma ya pazia.

Sandwich
AINA ZA MADD FAR-IY

Mada zipo katika makundi mawili ambayo ni madda far-iy na mdada twab-iy.

Sandwich
AINA ZA MADDA TWABIY KWENYE USOMAJI WA QURAN

Madda zimegawanyika katika maeneo makuu mawili ambayo ni madda twabiy na madda fariy

Sandwich
HUKUMU ZA IDH-HAR NA ID-GHAM KATIKA LAAM AL-MAARIFA

Laam al- maarifa inaweza kusomwa kwa idgham au idh-har pindibitakapokutana na herufi za shamsiya au qamariya.

Sandwich
HUKUMU YA TAFKHIM NA TARQIQ KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Tarqiq ni kuisoma herufi kwa kuipa wepesi na tqfkhim ni kuisoma herufi kwa kuipa uzito.

Sandwich
MAANA YA QALQALA NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.

Sandwich
MAANA YA QALQALA NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.

Sandwich
MAANA YA IDGHAM NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Aina za idgham ni idgham al mutamathilain, na idgham al mutajanisain

Sandwich
HUKUMU ZA MIM SAKINA NA TANWINKWENYE HUKUMU ZA TAJWID

Hukumu za kim sakina na tanwin ni idgham shafawiy, idh-har shafawiy, na Ikhfau shafawiy

Sandwich
HUKUMU YA IKHFAU KATIKA TAJWID

Ikh-fau ni moja ya hukumu za nun sakina na tanwin kwenye hukumu za Quran tajwid

Sandwich
MAKUNDI YA ID-GHAMU KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.

Sandwich
NI NINI MAANA YA ID-GHAM KATIKA HUKUMU ZA TAJWID

Hapa utajifunza kuhusu maana ya id-ghamu na aina zake.

Sandwich
NI NINI MAANA YA IDH-HAR KATIKA USOMAJI WA QURAN

Hapa utajifunza kuhusu hukumu ya Idh-har katika usomaji wa Quran.

Sandwich
NI ZIPI HUKUMU ZA NUNI YENYE SAKINA AU TANWIN?

Hapa utajifunza usomaji wa Quran pindi utakapokuta nuni yenyebsakina au tanwin

Sandwich
HUKUMU ZA TAJWID KATIKA USOMAJI WA BISMILLAH (BASMALAH)

Hapa utajifunza kanuni za tajwid katika kusoma bismillah au basmalah.