Home Afya Shule ICT Burudani Dini Maktaba Maswali Madrasa Apps Blog Legacy Login

TAHADHARI ZA UGONJWA WA UTI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu tahadhari za kuchukua ili kujikinga na UTI


Mtu anaweza kuchukuwa tahadhari dhidi ya ugonjwa huu kwa,;-

1.Jisafishe kutokea mbele kuelekea nyuma baada ya kukidhi haja kubwa (kwa wanawake). Hii husaidia kuzuia bakteria wanaotoka kwenye utumbo mkubwa wasipate nafasi ya kuingia kwenye njia ya haja ndogo.

2.mwaga maji kila uingiapo chooni kwaajili ya nkujisaidia. Kitendo hiki kitaondosha vijidudu vilivyopo pale chini.

3.Jisafishe sehemu za siri kabla ya kuingiliana na baada.

4.Hakikisha unakwenda kutoa haja ndogo (kukojoa) baada ya tendo la ndoa. Kitendo hiki kitasaidia kuondosha vijidudu vilivyoingia wakati wa tendo.

5.Nenda katoe haja ndogo haraka sana baada ya kuhisi.

6.Kunywa maji mengi zaidi. Husaidia kuondowa vijidudu kwa njia ya mkojo.

7.Vaa nguo za ndani za pamba, kavu na zisizobana.nguo za mpira na zinazobana husababisha jasho (majimaji) sehemu za siri. Majimaji haya husaidia bakteria kukuwa na kuishi hivyo wanaweza kuathiri njia ya mkojo.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 ICT       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS

Imeandikwa na Drsky Tags AFYA , Afya , ALL , Tarehe 2021-11-07     Share On facebook or WhatsApp Topic school Zaidi Dini AFYA ICT Burudani Tags Uzazi maswali Afya mengineyo dini HIV Sira vyakula Matunda HTML php Alif Lela 1 Alif Lela 2 FANGASI Dawa SQL Tips Quran Sunnah fiqh DARSA Magonjwa Tajwid tawhid simulizi Dua Academy Wahenga chemshabongo WAJUWA Michezo ICT Imesomwa mara 1016



Post Nyingine


image Dalili za ukosefu wa misuli.
Posti hii inahusu dalili za ukosefu wa misuli. ukosefu wa udhibiti wa misuli wakati wa harakati za hiari, kama vile kutembea au kuokota vitu. Ishara ya hali ya msingi, Ataxia inaweza kuathiri harakati, hotuba, harakati za jicho na kumeza. Soma Zaidi...

image Huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum.
Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali. Soma Zaidi...

image Faida na hasara za kutumia kondomu kama njia ya uzazi wa mpango
Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana Soma Zaidi...

image dalili za Uvimbe kwwnye jicho (sty)
Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lako. Soma Zaidi...

image Sababu zinazopelekea kukosa Usingizi
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Sababu zinazopelekea kukosa usingizi. Usingizi ni ugonjwa unaoendelea ambao unaweza kufanya iwe vigumu kusinzia, vigumu kubaki usingizini au vyote viwili, licha ya fursa ya kupata usingizi wa kutosha.Ukiwa na kukosa usingizi, kwa kawaida huamka unahisi hujaburudishwa, jambo ambalo linaathiri uwezo wako wa kufanya kazi wakati wa mchana. Kukosa usingizi kunaweza kudhoofisha si kiwango chako cha nishati na hisia tu bali pia afya yako, utendaji wa kazi na ubora wa maisha. Kiasi cha usingizi wa kutosha hutofautiana kati ya mtu na mtu.Watu wazima wengi wanahitaji saa saba hadi nane kwa usiku. Watu wazima wengi hupata usingizi wakati fulani, lakini baadhi ya watu hupata usingizi wa muda mrefu (sugu) Kukosa usingizi kunaweza kuwa tatizo la msingi, au huenda likawa la pili kwa sababu nyingine, kama vile ugonjwa au dawa. Huhitaji kuvumilia kukosa usingizi usiku. Mabadiliko rahisi katika mazoea yako ya kila siku yanaweza kukusaidia mara nyingi. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kisukari wakati wa ujauzito.
Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe.
Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe ambao husababisha dalili kama za mafua. Dalili na ishara za Ugonjwa huu ni kati ya kuumwa na mwili kidogo hadi homa kali na kwa kawaida huonekana ndani ya wiki moja au mbili baada ya kuumwa na kupe. Njia bora ya kuzuia maambukizi haya ni kuepuka kuumwa na kupe. Dawa za kuua tiki, ukaguzi wa kina wa mwili baada ya kuwa nje na uondoaji sahihi wa kupe hukupa nafasi nzuri ya kuepuka Maambukizi ya bakteria huyu. Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa watoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto Soma Zaidi...

image Dawa ya Rifampicin na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Dawa ya Rifampicin na kazi zake, hii ni dawa mojawapo inayotibu kifua kikuu kati ya Dawa zilizoteuliwa kutibu ugonjwa wa kifua kikuu. Soma Zaidi...

image Dalili za mimba changa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba changa Soma Zaidi...