HIKUMU YA BASMALLAH YAANI KUSOMA BISMILLAH

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

HIKUMU YA BASMALLAH YAANI KUSOMA BISMILLAH

SURA YA PILI
Hukumu ya Basmallah na isti'adha
KUSOMA BISMILLAH A AUDHUBILLAH:
bismilahir-rahmanir-rahiym tamko hili hujulikana kama basmalah na a'udhubillahi minas-shaytwaanir-rajiym hujlikana kma isti'adha matamo yote haa yana huumu zake za usomaji mble ya maulamaa wa ajwid pa ikumbukwe kuwa llah amesema kwa '..pindi unposoma urani asi taka hifadha ka Allah (akuline) kutoana na sheani aliembali narehma za Allah' yaani anza klea istiadha
Hukum ya isti'adha:
basi pindi utakapoaka kusoma quran na ukatak kuanza na isti'adha mwanzoi mwa sura a hapa utaakiwa kuleta basmala abla ya kianza sur. Hivyobasi kutauwa kumekutana isti'adha, asmala na sra unayotakakusoma. Hapa kaika kusma kwake kuna hukumu nne kama ifuatavyo;-
1.kukata zote; yaani kusoma kila mja kivake kwa kusimama kati a vitau hivi.yaani utasoma isti'adha isha utasiama, halafu utasomabasmalah kisha uasimama n baaday utaanza sra.
2.Kuunga zote yaani utunganisha isti'adha, basmalahna surah bila ya kusmama
3.Kuungabasmalah na sra; yani utasoma isti'adhakisha utasimama halafu utaoma basmalah na sura kwa kuunganisha vbila ya kuimama.
4.Kuuga isti'adha a basmala; yaani tasoma isi'aha na basala kwa pamoja kisha unasimama kishunasoma sura.
Bofya kitufe cha MFANO 01, MFANO02,na MFANO 03 kusikiliza mfano

Hukumu ya basmalah kati a sura mbii;
Iktokea umemaliza sura moja na untaka kuigia sura ingine basi hapa kua huku zifuatazo;-
1.uzikata zte; yani utasomamwisho wa sura, kiha unasoma basmalah kisha unaoma sura inyofata.
2.Kuiunga zote; hapautaunga mwshoni mwasura kisha unsoma basalah kisa unaanza usoma sura mpy bila ya kupunzika
3.Kuung basmala na mwanzni mwa sura; yaani uaaliza sura kish utasimama, kisha utasoma asmalah pamoja nakuanza sua mpya bila ya kusimama.
Kanunuzinazofungamana a elim ya tajweed;
1.ujuzi wakujuwa matamshi ya erufi n yaapotamkiwa na yanavyotamka.
2.Ujuzi wa kjuwa taia na sif za herufi
3.Ujuzi w kujuwa amna ambavyo erufi zinabadilika kulingan na mpangilio wa manen
4.Kuufania mazoeziulimi pmoja na kuudia ruda


                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 289


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Upeo wa Elimu waliyokuwa nayo Mitume
Soma Zaidi...

Matukio mbalimbali katika historia ya uislamu kabla na baada ya Mtume (s.a.w) na makhalifa wake wanne
1. Soma Zaidi...

Yusufu(a.s) Atupwa afungwa Gerezani
Mkewe Al-Aziz hakumkatia tamaa Yusufu(a. Soma Zaidi...

Kujiepusha na maringo na majivuno
Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri. Soma Zaidi...

Historia ya Watu wa Mahandaki ya Moto.
Katika Suratul Buruj, kumetajwa kisa cha makafiri waliowatesa wafuasi wa Mitume waliotangulia kabla ya Mtume Muhammad(s. Soma Zaidi...

MAANA NA FADHILA ZA DUA
DUA Kwa ufupi dua ni kumuomba Allah akuondoshee lililobaya, ama linalo kuudhi ama akupe jambo fulani. Soma Zaidi...

Twahara
FIQH 1. Soma Zaidi...

Hadithi Ya 22: Je, Nikiswali Swalah Za Fardhi, Nikafunga Ramadhaan
Soma Zaidi...

Taratibu za mahari katika uislamu
Soma Zaidi...

.Mazingatio muhimu katika uchumi wa Kiislamu
3. Soma Zaidi...

DUA ZA KUONDOA WASIWASI
DUA ZA KUONDOA MAUMIVU MWILINI Katika uislamu Allah amejaalia dawa katika kufuata sunnah. Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII DAUD
Soma Zaidi...