HUKUMU ZA IDGHAM
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
SURA YA TANO
HUKUMU ZA IDGHAM . 1 Idghaam Al-Mutamaathilayni (Zinazofanana)
Hukumu hii hutokea wakati herufi mbili za aina moja zinapokutana, kwa namna ya kuwa herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itafanya herufi ya kwanza iingizwe kwenye herufi ya pil na hivyo hii ya pili inawekwa shada.
2 إِدْغام الْمُتَجانِسَيْنِ Idghaam Al-Mutajaanisayni (Zinazoshabihiana)
Hii hutokea pale herufi mbili zinazokaribiana kufanana katika matamshi zikkititana, na mnmna ambayo herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na i’rabu. Hali hii itapelekea kuwekwa shada kwa herufi ya pili.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 ai web app 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Quran si njozi za mvurugano alizoota Mtume Muhammad
(ii)Dai kuwa Qur-an ni zao la njozi za Mtume (s.
Soma Zaidi...surat al mauun
SURATUL-MAM’UUN Imeteremshwa Maka, anasimulia Ibn Jurayj kuwa Abuu Sufyan ibn Harb alikuwa na kawaida ya kuchinja ngamia wawili kila wiki, hivyo siku moja yatima mmoja alikuja kwake na kumlilia shida, na hakumsaidia kwa chochote na hatimaye akampiga yat..
Soma Zaidi...Aasbab Nuzul surat Ash sharh: sababu za kushuka alam nashrah (surat Ash sharh)
Makala hii itakwenda kukufundisha sababu za kushuka kwa alam nasharah yaani Surat Ash sharh.
Soma Zaidi...Sababu za kushuka surat al-Falaq na surat an-Nas na fadhila za kusoma sura hizi
SURAT AL-MUAWIDHATAYN (SURAT AL-FALAQ NA SURATUN-NAS) Inaelezwa kuwa sura mbili hizi zilishuka pamoja, na maulamaa wanaelezea kuwa Mtume (s.
Soma Zaidi...