TANGAWIZI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi


Tangawizi.

 Kiungo hiki mara mara nyingi hutumika kwenye chai. Pia hutumiwa kwenye mchuzi japo sio kawaida. Tangaizi hutibu maradhi mengi lakini ni mujarabu sana kwa tatizo la nguvu za kiume. Tutaizungumza vizuri tangaizi kwenye post zetu zijazo.

 

Tangaizi husaidia katika kuhakikisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula unafanya kazi kwa ufanisi. Husaidia katika uzalishaji wa mate pamoja na nyongo. Huongeza metablolic ndani ya utumbo. Pia tafiti zinaashiria kuwa tangawizi huweza kusaidia kukinga mwili na saratani ya utumbo.

 

Tangawizi husaidia katika kupunguza stress ikitumika kama kiungo cha chai, pia husaidia katika kusukuma chakula vizuri ndani ya tumbo, hupunguza tatizo la kutokwa na damu za pua. Pia tangawizi kuondoa maumivu na husaidia katika kuimarisha afya ya moyo.

 

Tangawizi ina รฏโ€šยท17.86 g of carbohydrate, 3.6 g of dietary fiber, 3.57 g of protein, 14 mg of sodium, 1.15 g of iron, 7.7 mg of vitamin C, na 33 mg of potassium



Sponsored Posts


  ๐Ÿ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ๐Ÿ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ๐Ÿ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ๐Ÿ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ๐Ÿ‘‰    5 Mafunzo ya php       ๐Ÿ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za kula stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop Soma Zaidi...

image Faida za ubuyu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu Soma Zaidi...

image Faida za kula papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

image Faida za chungwa na chenza ( tangarine)
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mbegu za papai na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Tango (cucumber)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass Soma Zaidi...

image Karoti
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karoti Soma Zaidi...

image Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Faida za apple kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi faida za apple kwa mama mjamzito, ni faida anazozipata mama akiwa mjamzito kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini mbalimbali kwenye apple ambavyo usaidia katika makuzi ya mtoto.I Soma Zaidi...