HISTORIA YA MAISHA YA MTUME S.A.W KABLA YA UTUME
MAISHA YA MTUME (S.
![]()
![]()
MAISHA YA MTUME (S.A.W) KABLA YA UTUME
Muhammad alipokuwa ni kijana alikuwa ni mwenye tabia njema, mwenye mwenendo mwema, mkweli na muaminifu. Waarabu walimwita jina la Al-Amini yaani mwaminifu. Alikuwa ni mwenye busara na akili sana. Alikuwa si muongeaji sana muda mwili alikuwa mkimya huki akitafakari ukweli katika maumbile ya mbingu na ardhi.
Katu hakuwahi kusujudia sanamu wala ibada za kijahilia. Hakuwahi kupigana wala kugombana. Katu hakuthubutu kula nyama iliyochinjwa kwa ajili ya ibada za masanamu na mila zao za kijahilia. Pia hakuweza kumvumilia yeyote ambaye anaapa kwa jina la Al-lat au Al-Uzaa na haya ni majina ya miungu yao.
ITAENDELEAβ¦β¦.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Kitabu cha Afya π2 web hosting π3 ai web app π4 Bongolite - Game zone - Play free game π5 Madrasa kiganjani π6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Watu wa Mji Waliomuua Muislamu kwa Kuwa Amewasadikisha Wajumbe wa Allah(s.w)
Katika Suratul Yassin Allah(s.
Soma Zaidi...Kuzaliwa kwa Mtume S.A.W
Sura na historia ya Mtume Muhammad s.sa. w, sehemu ya 5. Hapa utajifunza kuhusu kuzaliwa kwa Mtume.
Soma Zaidi...