KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNEMtume (s.
KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNE
Mtume (s.a.w) alirudishwa kwa mama yake alipokuwa na umri wa miaka minne, na aliendelea kuishi na mama yake mpaka alipotimia miaka sita, na hapo ndipo wakati ambao mama yake kipenzi alifariki dunia. Wanazuoni wanaeleza juu ya kufariki kwa mama yake kama ifuatavyo:-
Mama yake Mtume (s.a.w) alifunga msafara kwenda kuzuu kaburi la mume wake huko madina. Katika msafara huu alikuwepo Mtume (s.a.w), mjakazi wa kike aitwaye Ummu Ayman, Mtume (s.a.w) pamoja na baba mkwe wake bi Amina aitwaye βAbdul Al-Muttalib. Walikaa huko kwa muda wa mwezi mmoja, na walipokuwa wanarejea mama yake Mtume (s.a.w) alipatwa na maradhi ya ghafla na akafariki wakiwa njiani sehemu iitwayo Abwai ni kijiji kilichopo kati ya Makkah na madinah.
Umeionaje Makala hii.. ?
Mawaziri waliokuwa washauri wakuu wa Firauni wakataka wakusanywe magwiji waliobobea katika uchawi nchi nzima, kisha wapambanishwe na Nabii Musa(as).
Soma Zaidi...KULELEWA NA BABA YAKE MDOGOBaada ya kufariki kwa mzee huyu, kiongozi mkubwa wa maquraysh na makkah, kiongozi ambaye jeshi la Abrah liliangamizwa ndani ya utawala wake.
Soma Zaidi...Historia na shida ya Mtume Muhammad S.A.W, sehemu ya 12. Hapa utajifunza kuhusu kutokea kwa vita vya al fijar.
Soma Zaidi...Dola ya kiislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...(i) Suratul- βAlaq (96:1-5)βSoma kwa jina la Mola wako aliyeumba Aliyemuumba mwanaadamu kwa βalaq.
Soma Zaidi...