TATIZO LA FIZI KUACHANA.


image


Posti hii inahusu zaidi tatizo la fizi kuachana, ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi kwa wakati mwingine unakuta fizi zimeachana kutoka sehemu moja kwa nyingine kwa hiyo tunaweza kuona sababu kama ifuatavyo.


Tatizo la fizi kuachana.

1. Tatizo la kwanza ni meno juwa madogo sana kuliko size ya teeth na jaw bone.

Kwa wakati mwingine unakuta mtu ana meno madogo kwa size yake na Usababisha fizi kuachana.

 

2. Sababu nyingine ni za kigenetics kwa sababu unakuta familia nzima ina meno ya hivyo kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.

 

3. Sababu nyingine ni kuwa na uvimbe kwenye fizi za meno  au kuwepo kwa uvimbe kwenye tisu za fizi usababisha fizi kuachana kutoka kwenye hatua moja kwa nyingine.

 

4. Watoto wengine ambao wana tabia ya kunyonya vidole fumba wana kwa mda mrefu ufanya fizi zao kuachana kutoka kwenye sehemu moja kwa nyingine.

 

5. Pengine kuna magonjwa ya fizi.

Magonjwa ya fizi nayo usababisha fizi kuachana kutoka kwa moja na nyingine kwa kitaalamu Magonjwa hayo huitwa gum disease.

 

6. Matumizi mbalimbali ya kemikali nayo usababisha fizi kuachana, pengine kemikali hizi utumika katika kusafisha meno au urembo kwenye meno Usababisha fizi kuachana.

 

7.Kwa hiyo tunaona wazi kubwa sababu mbalimbali ambazo ufanya fizi kuachana kwa hiyo kwa zile ambazo zinaweza kutibika na kurekebishwa zinapaswa kufanywa hivyo ili kuondoa matatizo haya kwenye jamii.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu Soma Zaidi...

image Zifahamu sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi ambayo kwa kitaalamu huitwa follapian tube, ni sababu ambazo ufanya mirija ya follapian tube kuziba. Soma Zaidi...

image Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na kwikwi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na kwikwi Soma Zaidi...

image Asili ya vyakula vya madini ya zinki
Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki. Soma Zaidi...

image Zijue sehemu za mwili zinazochomwa chanjo.
Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo. Soma Zaidi...

image Maelekezo muhimu kwa Mama au mlezi wa mtoto mgonjwa
Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu kwa mama au mlezi wa mtoto mgonjwa. Ni maelekezo muhimu hasa wakati wa kutoa dawa kwa mtoto. Soma Zaidi...

image Dondoo za afya 1-20
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa Saratani ya ini.
Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako. Soma Zaidi...

image Namna ya kuongeza na mjamzito ili kupata taarifa zake na kutoa msaada
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuongea na Mama mjamzito ili kuweza kugundua tatizo lake na kutoa msaada pale penye uhitaji. Soma Zaidi...

image Fahamu sababu za ugonjwa unanipeleka Kuvimba kwa mishipa ya Damu
posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Kuvimba kwa Mishipa ya Damu hujulikana Kama Behcet amboyo husababisha dalili nyingi ambazo hapo awali zinaweza kuonekana kuwa hazihusiani. Dalili na ishara za ugonjwa huu ambazo zinaweza kujumuisha vidonda vya mdomo, kuvimba kwa macho, upele wa ngozi na vidonda, na vidonda vya sehemu za siri hutofautiana kati ya mtu na mtu na huenda zikaja na kwenda zenyewe. Soma Zaidi...