UTUNZAJI WA BETRY YA KIFAA CHAKO

Namna ya kutunza betri yako iweze kudumu kwa muda mrefu

UTUNZAJI WA BETRY YA KIFAA CHAKO

UTUNZAJI WA BETRY YA KIFAA CHAKO:


Kabla ya kuona njia za kutunza betry ya kifaa chako kwanza tuone adui mkubwa ambaye anachangia kuharibu betry yako kwa kiwango kikubwa. Jambo hatari sana linalosababisha kuharibika kwa bety hako ni kupata joto. Eric Limer alizungumza hivi "What's far more dangerous to a battery's well-being is heat. Lithium-ion batteries despise heat. A li-ion battery that's been exposed to temperatures of around 100 degrees Fahrenheit for a year will lose about 40 percent of its overall charge capacity. At 75 degrees, it'll lose only about 20 percent."?

hivyo joto ni katika adui mkubwa wa betry yako ya simu au kompyuta. Betry ikiwa inapata joto jin gi wakati wa kutumika inaweza kupoteza uwezo wake wa kufanya kazi kwa haraka zaidi na kwa kiwango kikubwa kama alivyosema katika nukuu za hapo juu kuwa betry iliyowekwa katika joto la 100 Fahrennheit kwa mwaka inapoteza asilimia 40% za uwezo wake wa kijumla wa kuchaji, na likiwa joto hilo ni 75% inapoteza 20% ya uwezo wake wa kuchaji. hivyo kama utaizuia betry yako kupata joto jingi kwa muda mrefu unapofanya kazi utaweza kudhibiti uwezo wa betry yako wa kufanya kazi. Sasa kwakuwa tumeshaona adui mkubwa wa betry zetu hebu tuone sasa namna ya kutunza betry zetu.

Njia za kutunza betry
1. Towa betry yako katika kifaa chako ili ipowe kama imepata moto kwa muda mrefu bila ya kupozwa. simu au laptop zingine huwa zikipata joto huchelewa kupowa hivyo kitendo hiki kitafanya betry yako iendelee kuathirika. hivyo kamma utakuwa umemaliza shughuli zako unaweza kuitowa nje betry yako ili iweze kupowa.

2.weka kifaa chako katika mazingira yasiyo na joto la hali ya juu. kwa mfano usiweke simu yako juu ya PS ambapo pana joto au juu ya laptop au kompyuta iliyo na joto. pia jiepushe kuiweka simu yako juu ya deki iliyo na joto. Halikadhalika kwa betry ya laptop yako epusha kuiweka katika mazingira nambayo yataifanya ipate joto la juu kwa mfano kuiweka juu ya godoro au kitu ambacho itasababisha joto la kompyuta yako lisipungue kwani godoro linaweza kuziba matundu ambayo yamewekwa kwa ajili ya kupunguza joto la ziada.

3.Hifadhi betry yako ikiwa ina chaji kiasi walau kidogo.Inatokea unazaidi ya betri oja na unataka kuipunzisha betry ya zamani hivyo inashauriwa kuihifadhi ikiwa ina kiasi cha chaji. pia nivizuri kuiwacha betry katika kifaa chako ikiwa ina kiasi cha chaji walau kidogo.

Mengineyo katika kutunza bety: Tokeo la picha la wifi1.funga wi-fi kama hautumii. wireless ni katika vyanzo ambavyo pindi ikiwa ON na ipo connected inaweza kutumia chaji nyingi sana kwa wakati mfupi ambapo kitendo hiki pia kianaweza kuhatarisha uhai wa betry yako.

2. funga bluetooth na funguza mwanga wa screen yako na punguza muda wa kudisplay screen yako

3.funga shughuli zote zinazofanyika kwa kufificha yaan background activities.

4. mwisho kama betry yako inaendelea kusumbuwa ni vizuri kwendakuibadilisha ni vizuri kununuwa mpya tofauti na kunu uwa kwa mtu. nenda dukani ukapate betry yako mpya uendelee kuvinvjari ukiwa na kifaa chako.


                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 203

Post zifazofanana:-

STANDARD FOUR ENGLISH TEST 15
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula ndizi
Soma Zaidi...

maradhi
Soma Zaidi...

Historia ya Firaun, Qarun na Hamana
Karun na Hamana waliishi zama za Mtume Musa(a. Soma Zaidi...

Neema za Allah(s.w) Juu ya Bani Israil
Katika Qur'an tunakumbushwa neema mbali mbali walizotunukiwa Bani Israil (Mayahudi) na Mola wao ili kuwawezesha kusimamisha Ufalme wa Allah(s. Soma Zaidi...

HADITHI YA NURDINI 03: Mtumwa wa Gharama
Kama wasemavyo waliokula chumvi nyingi kuwa muomba mungu hachoki, basi waziri Faridi aliendelea kuomba Mungu hata siku moja akapata taarifa kuwa kuna watumwa wametokea nchi za Uajemi. Soma Zaidi...

tarekh 08
KULELEWA NA MAMA YAKE ALIPOFIKA MIAKA MINNEMtume (s. Soma Zaidi...

Nyakati za swala za dharura swala ya mgonjwa na mafiri
Soma Zaidi...

Harun(a.s), Achaguliwa Kuwa Msaidizi Musa(a.s) na kumkabili (kumlingania) firauni
Nabii Musa(a. Soma Zaidi...

Fahamau protini na kazi zake, vyakula vya protini, na athari za upungufu wake.
unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo Soma Zaidi...

Sifa za waumini zilizotajwa katika surat As-Sajida
Nao husema (kwa maskhara): "Je, tutakapopotea katika ardhi, (tukageuka mchanga) ndio tutarudishwa katika umbo jipya? Soma Zaidi...

Dua sehemu 03
Zijuwe njia ambazo Allah hujibu Dua yako. Tambua kama umejibiwa dua yako au bodo, soma darsa za dua hapa. Soma Zaidi...