Kutuma sms ndefu

Kutuma sms ndefu

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Kutuma sms ndefu
UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya 11

.

JINSI YA KUTUMA SMS NDEFU
Inatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.

Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.

vinsi ya kutatuwa tatizo hili.
zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili

1.nenda playstore ukadaunlod big sms au bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.



        

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Teknolojia Main: Post File: Download PDF Views: 4314

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 ai web app     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Simu au Kompyuta inastak? (inasumbua)

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
Kurudisha mafaili na data zilizopotea

Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea

Soma Zaidi...
Kipi kingine utafanya ukiwa Facebook

Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook

Soma Zaidi...
SIRI

Hii ni game ya maandishi bila ya kutumia vioneshi (graphics).

Soma Zaidi...
KULINDA AKAUNT YAKO YA FACEBOOK DHIDI YA WAHALIFU WA KIMTANDAO

Watu wengi wanalalamika kuwa akaunti zao za facebook zimehakiwa, yaani zimeshambuliwa na wahalifu wa kimtandano.

Soma Zaidi...
Chanzo cha matatiza ya simu/kompyuta

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...