Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo ya kiafya yanayozungumzwa na umoja wa mataifa
UMOJA WA MATAIFA (UN) UNAZUNGUMZIAJE AFA?
Umoja wa mataifa una kitengo ambacho kinajihusisha na masuala yote ya afya kitengo hiko nikajulikana kama HYPERLINK "https://en.wikipedia.org/wiki/World_Health_Organization" o "WHO" World_Health_Organization. Kulingana na tafiti za shirika hili la umoja wa mataifa, nimeamua kukuletea HYPERLINK "https://bongoclass.com/dondoo-100/dondoo-100-za-afya.html" o "dondoo 100 za afya" dondoo kadhaa za afya. Dondoo hizi zinahusu takwimu mbalimbali za afya duniani kote. Nitaanza kunukuu moja kati ya taarifa hizo hapo chini..
ï‚·
Takribani nusu ya wakazi wa dunia bado hawapati huduma za msingi za afya.
ï‚·
ï‚·
Takribani watu milioni 100 bado wanasukumwa kwenye ufukara kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia huduma zao za afya.
ï‚·
Zaidi ya watu milioni 800 , sawa na asilimia 12 ya wakazi wote wa dunia, wanatumia asilimia 10 ya kipato cha kaya kugharimia huduma za afya.
ï‚·
ï‚·
Mataifa yote 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa wamekubaliana kufikia lengo la huduma ya afya kwa wote ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya malengo ya maendeleo endelevu, HYPERLINK "https://www.undp.org/content/undp/en/home/sustainable-development-goals.html" o "sustainable-development-goals" SDGs.
ï‚·
Huu ni ukweli usio pingika kwamba bado vijijini kuna watu wengi sana ambao wanaishi huko hali ya kuwa huduma za afya haipo vizuri ukilinganisha maeneo ya mijini. Mfano mzuri ni ukosekanaji wa baadhi ya vifaa vya kutolea huduma za afya na wakati mwingine hali ya usafiri kuwa mbovu huchangia matatizo ya afya kuendelea kutokea. Elimu ya afya pia maeneo ya vijijini haipatikani ipasavyo, na ndio maana hata hali ya unyanyasaji kwa wenye HIV imekuwa kubwa vijijini kuliko mijini.
Sambamba na kuwa utoaji wa huduma bora za afya maeneo mengi duniani haupo vizuri, na hii ni kutokana na kipato cha wananchi wenyewe. Atahitajika kununua dawa ama kulipia vipimo. Serikali mbalimbali zimeweka utaratibu wa kulipia bima ili kuboresha huduma za afya, hii ni nzuri lakini bado wananchi wengi hawajaweza kuchangia huduma hio. Huenda ni kulingana na kipato chao ni kidogo ama kutokana na kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kulipia HYPERLINK "http://www.nhif.or.tz/pages/health-insurance-for-private-individual" o "bima ya afya" bima ya afya .
HYPERLINK "http://afya.bongoclass.com/elimu.htm" o "elimu ya afya" Elimu ya afya inahitajika zaidi ili kuweza kuhakikisha maeneo mengi yanapata huduma hizi za afya. Kwa nini elimu ya afya? hii ni kwa sababu endapo wananchi wataelimishwa wataweza kuboresha huduma za afya kwa nguvu zao na raslimali zao. Serikali nazo pia kwa upande mwingine zihakikishe kuwa uboreshwaji wa afya unafikia mpaka maeneo ya vijijini, na wananchi wanashiriki kwa umakini maswala yote ya afya.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 655
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Madrasa kiganjani
MAWAKALA WA KUSABABISHA NA KUSAMBAZA MARADHI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
TAHADHARI KWENYE VYAKULA ILI KULINDA AFYA YAKO
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
Kitabu cha Afya 03
Yajuwe mambo yanayoathiri afya ya miili yetu, jifunze mambo mengi kuhusu afya. Soma Zaidi...
VIZAZI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
YANAYOATHIRI AFYA KATIKA MAZINGIRZ
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...
MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA: kuwashwa matako, kupungua uzito, kukosa hamu ya kula, kupungua damu
MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA Utangulizi Karibu tena kwenye makala zetu za afya. Soma Zaidi...
kitabu cha afya
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...
Dondoo za afya 21-40
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...
darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...
AFYA NA MAGONJWA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...
darasa la lishe
Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe Soma Zaidi...