Umuhimu wa kupumzika kiafya

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupumzika kiafya, kwa kawaida mwili na viungo vingine vya mwili uweza kufanya kazi zaidi pale mtu akiwa amepumzika.

Umuhimu wa kupumzika kiafya.

1. Kupumzika uongeza uwezo wa kukumbuka zaidi.

Kwa kawaida ubongo uweza kufanya kazi ikiwa mtu amepumzika kwa hiyo ukipumzika kwa mda unaofaa unapata kumbukumbu nzuri na ya mda mrefu.

 

2. Kupumzika uondoa hatari ya kupata kiharusi.

Kwa kawaida tunajua wazi kuwa tukifanya kazi n kupumzika kwa wakati tunaweza kuruhusu damu kusafili kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuondoa kiharusi 

 

3.   Kupumzika ulinda afya ya moyo.

Kwa kawaida moyo uweza kusukuma damu kutoka sehemu moja kwenda nyingine hasa pale mtu akiwa amepumzika kwa hiyo kupumzika ni kwa muhimu zaidi.

 

4. Kupumzika usaidia mwili kujijenga.

Kwa kawaida ili mwili kuweza kufanya kazi kinapaswa kuwepo kupumzika kwa mda mrefu na wa kutosha kwa sababu mtu akiwa amepumzika kila kiungo kinajiunga kwa upya.

 

5. Uongeza hamasa ya utendaji.

Kwa kawaida mtu akipumzika na mwili mzima uweza kuwa na nguvu kwa hiyo akiamka kutoka sehemu ya kupumzika anaweza kufanya kazi kubwa na nyingi kwa mda mrefu.

 

6. Kupumzika uondoa msongo wa mawazo.

Kwa kawaida mtu akipumzika na akili nayo inapumzika na kuweza kufanya kazi vizuri na kupunguaza msongo wa mawazo.

 

7. Kupumzika pia uongeza hamu ya kula .

Kama mtu hana hamu ya kula akipumzika anaweza kuwa na hamu ya kula kwa hiyo kupumzika ni kwa muhimu.

 

8. Kupumzika uondoa Ajali barabarani.

Kwa kawaida ajali nyingi utokea kwa sababu ya kutopumzika kwa hiyo mtu akipumzika anaweza kupunguza kiwango cha ajali barabarani.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/08/Tuesday - 11:40:53 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1179


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-