Musa(a.s)Kupewa Utume Rasmi

Musa(a.s)Kupewa Utume Rasmi

Musa alipotimiza muda, alifunga safari na ahali zake kurejea Misri.

Musa(a.s)Kupewa Utume Rasmi

Musa(a.s)Kupewa Utume Rasmi


Musa alipotimiza muda, alifunga safari na ahali zake kurejea Misri. Njiani aliona moto upande wa mlimani akawaambia ahali zake:



............Ngojeni hakika nimeona moto; labda nitakujieni na habari za huko au kijinga cha moto ili muote (28:29)




Basi alipofika, aliitwa: “Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Mola wako. Basi vua viatu vyako. Hakika wewe uko katika bonde takatifu la Tuwa. (20:11-12)




Nami nimekuchagua, (uwe Mtume). Basi yasikilize unayoelezwa kupitia wahy. Kwa yakini Mimi ndiye Mwenyezi Mungu, hakuna aabudiwaye kwa haki ila Mimi, Basi niabudu na usimamishe swala kwa kunitaja (20:13-14)



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Sira Main: Post File: Download PDF Views: 2882

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

vita vya ahzab, sababu ya kutokea vita hivi na mafunzo tunayoyapata

Vita vya Ahzab- Maquraish waliungana na mayahudi, wanafiki na makabila mengine ya waarabu baada ya kuona kuwa wao peke yao hawawezi kuufuta Uislamu.

Soma Zaidi...
Kuchimbwa upya kwa kisima cha Zamzam

Sura na historia ya mtume Muhammad S.A.W sehemu ya 3.Hapa utajifunza kuhusu kufukuliwa kwa kisima cha Zamzam baada ya kufukiwa muda mrefu.

Soma Zaidi...