picha

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo tuyapatayo hayatofautiani na yale yatokanayo na Historia ya Nabii Hud(a.

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo tuyapatayo hayatofautiani na yale yatokanayo na Historia ya Nabii Hud(a.s).



Mafunzo ya ziada ni kuwa:

(i) Maendeleo ya sayansi na teknolojiahayana maana yoyote
ya amii kama hayatatumiwakwa ajili ya kusimamisha ukhalifa utakaotengeneza mazingira ya kuwepo kwa amani ya kweli.



(ii) Hivi leo maendeleo ya sayansi na teknolojia imekuwa ndio silaha ya kuendeleza dhuluma na maangamizi ya mamilioni kwa mamilioni ya watu wasio na hatia.



(iii) Pamoja na maendeleo ya sayansi na teknolojia waliyonayo matwaghuti hivi leo,Waislamu wakijizatiti na kufanya subira watawashinda matwaghuti na kusimamisha ukhalifa kama ilivyokuwa kwa Nabii Hud(a.s) na Salih(a.s) kwa msaada wa Allah(s.w). Rejea Qur-an (8:59-60, 66)



                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1851

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
๐Ÿ‘‰1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    ๐Ÿ‘‰2 Kitabu cha Afya    ๐Ÿ‘‰3 Dua za Mitume na Manabii    ๐Ÿ‘‰4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    ๐Ÿ‘‰5 web hosting    ๐Ÿ‘‰6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: