Vitamini na kazi zake

Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo.

Vitamini na kazi zake

1.Vitamini A

Hii ni Aina ya vitamini ambapo kazi yake kubwa usaidia kwenye kuona, kutengeneza Ute, kuungarisha mifupa na meno pia, kuzaliana na kuongeza kinga mwilini.kwa hiyo kazi ya vitamini A ni kubwa sana mwilini kama tulivyoona hapo juu.

 

vitamini A upatikana kwenye wanyama mfano nyama, maini, na maziwa, tena upatikana kwenye matunda na mamboga mboga ya majani, pia kwenye mafuta ya mawese na mizeituni tena upatikana kwenye mahindi ya njano, na kwenye viazi vya njano na vyakula vingine mbalimbali.

 

Ukosefu wa vitamin A usababisha mtu kuwa kopofu, matatizo kwenye lymp node na kwenye ngozi maambukizi ya kila ugonjwa  na kukua kunaleta sihida hasa kwa watoto kudumaa, kwa hiyo tunaona hatari iliyopo kwenye kukosa vitamini A kunavyoweza kuleta matatizo mengi na ya hatari kw hiyo tunapaswa kula vyakula vyenye vitamini A kwa wingi.

 

2. Vitamini D

Vitamini D usaidia katika shughuli mbalimbali kama ifuayavyo, katika kutengeneza na kuimarisha mifupa na meno, kazi ya vitamini D ni kubwa sana hasa kwa mifupa bila vitamini D mifupa uweza kuwa laini na hali hii usababisha magonjwa ya viungo na mgongo kwa sababu ya kuishiwa Vitamini D mwilini.

 

Vitamini D utokana na mwanga wa jua kwenye mwili hasa hasa jua la asubuhi Lina wingi wa vitamini D kuliko jua lingine kwa hiyo ndo maana watu upenda sana kuota jua la asubuhi Ili kuongeza vitamini D mwilini.na samaki,maini,mayai,nyama, cheese na maziwa navyonuongeza kiasi Cha wingi wa vitamini D mwilini.

 

Ukosefu wa vitamin D usababisha mifupa kuwa milaini hali ambayo usababisha maambukizi kwenye mifupa kwa hiyo hali hii upelekea maumivu kwenye kiuno, mgongo na sehey nyingine nyingi za mwili, na pia Ukosefu wa vitamini D usababisha meno kuoza na kusababisha madhara makubwa kwenye  kinywa na Maambukizi mbalimbali ujitokeza.

 

 

3.Vitamini E

Ni vitamini ambavyo usaidia kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo,usababisha watu kuwa na uwezo wa kuzaliana, tena usaidia kutengeneza haemoglobin ambayo usaidia kubeba damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine na pia usaidia kama Antioxidant kwenye mwili.

 

vitamini E upatikana kwenye mamboga mboga ya majani kama vile kabeji, mchicha, chainizi,na mboga zote za majani,pia pengine ambapo upatikana kwenye maharage, kunde,njegere, njugu Mawe, karanga na kwenye soya beans pote tunapata vitamini E kwa hiyo kwenye vitu ambapo vitamini E utoka tumeona kwa hiyo tunapaswa kutumia vyakula hivyo.

 

kwa hiyo tusipopata vitamini E tunaaweza kupata magonjwa ya macho ambayo yanaweza kuleta shida katika maisha yetu hasa kwa watoto wadogo wanapaswa kupata vitamini E Ili kuzuia uharibifu wa macho ambao unaweza kuleta shida kwenye maisha yetu.

 

4,Vitamini K 

Ni vitamini ambavyo usaidia katika mwili wa binadamu kama ifuayavyo, kusaidia damu kuganda pale mtu akipata jeraha damu utoka kama Kuna upungufu wa vitamini K damu uendelee kutoka na kusababisha magonjwa nyemelezi kama Vile Anaemia lakini kama Kuna vitamini K damu utoka na baadae vitamini K usaidia damu hiyo kuganda na Mtu hawezi kupata Anaemia.

 

vitamini K upatikana kwa wingi katika vyakula mbalimbali kama vile kwenyemboga za majani na Vitamini K utengenezwa na bakteria kwenye utumbo mkubwa na mdogo Aina hii tunaaweza kusema kwamba mwili ujitengenezea vitamini K kutokana na bakteria kwenye mwili. Kama hakuna vitamini K mtu kwenye mwili wa binadamu mtu ana hatari ya kupoteza damu kwa wingi na kusababisha Anaemia.

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/12/07/Tuesday - 02:47:54 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1307


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi Soma Zaidi...

Ndizi (banana)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndizi Soma Zaidi...

Sababu za kuwa na fangasi ukeni
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Fida za kula uyoga
Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy Soma Zaidi...

Uyoga (mushrooms)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula uyoga Soma Zaidi...

Vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito, mama mjamzito ni mama ambaye amebeba kiumbe ndani kwa hiyo anapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho mbalimbali vitakavyomsaidia mtoto kukua vizuri. Soma Zaidi...

Faida kula fenesi
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula fenesi Soma Zaidi...

Vyakula vya madini, kazizake na athari za upungufu wa madini mwilini
Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili. Soma Zaidi...

Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...

Vyakula na ugonjwa wa kisukari
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari Soma Zaidi...

NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?
Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna ya kupangilia lishe yako kiusalama zaidi baada ya kujuwa kazi za protini katika miili yetu. Soma Zaidi...

Vyakula vya kuongeza damu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuongeza damu Soma Zaidi...