Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya fati na umuhimu wake mwilini
VYAKULA VYA FATI
1. Karanga
2. Nazi
3. Maziwa
4. Mayai
5. Korosho
6. Palachichi
7. Nyama
8. Samaki
9. Nafaka
Kazi za fati mwilini
1. Kazi kuu ya fati mwilini ni kutupatia joto.
2. Fati pia ni chanzo cha nishati mwilini
3. Utando wa seli umetangenezwa na chembechembe za fati
4. Ubongo umetengenezwa na fati kwa asilimia 60
5. Fati husaidia katika ubebwaji wa vitamini ndani ya mwili
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1323
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉2 Kitabu cha Afya
👉3 kitabu cha Simulizi
👉4 Madrasa kiganjani
👉5 Kitau cha Fiqh
Vyakula muhimu kwa kulinda afya ya macho - Epuka upofu kwa kula vyakula hivi
Matatizo ya macho yanaweza kuruthiwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto. hata hivyo shughuli zetu na vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo haya. Hapa nitakuletea vyakula muhimu kwa afya ya macho yako. Soma Zaidi...
Vijuwe vyakula vya madini na kazi za madini mwilini
Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini Soma Zaidi...
Pilipili kali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za pilipili kali Soma Zaidi...
Vinywaji salama kwa mwenye kisukari
Vijuwe vinywaji salama kwa mgonjwa wa kisukari Soma Zaidi...
Vyakula salama na vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo
Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...
Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...
Faida za kula stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...
Vyakula vya vitamin B
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamin B Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...