Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba wa mtume (s.a.w)

Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba wa mtume (s.a.w)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Download Post hii hapa

Uandishi wa Hadith wakati wa Maswahaba wa Mtume (s.a.w) (11 A.H – 101 A.H).

 

  1. Kitabu cha Hadith cha ‘Al-Qatadaya’ cha Ali (r.a).
  2. Juzuu (Pamphlet) ya Hadith iliyoandikwa na Ibn Abbas (r.a).



 

  1.    Dola ya Kiislamu ilipanuka sana na ikawa kuna hitajio kubwa la kuiendesha kwa mujibu wa mafundisho ya Qur’an na ya Hadith pia.

 

  1.    Makhalifah wanne waongofu, waliongoza Dola ya Kiislamu kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah kwa kutoa hukumu mbali mbali.  

 

  1.    Kuzuka ugomvi baina ya Ali (r.a) na Muawiya (r.a) na waislamu kugawanyika makundi matatu na Hadith kutumika vibaya kulingana na matashi ya kila kundi.

 

  1.    Kuporomoka kwa Dola ya Kiislamu na kuibuka tawala za Kifalme, hivyo zilizuka hadith za uongo.

Download Post hii hapa

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 2974

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

quran na sayansi
quran na sayansi

QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh.

Soma Zaidi...
Je wajuwa kuwa jua hujizungurusha kwenye mhimili wake?
Je wajuwa kuwa jua hujizungurusha kwenye mhimili wake?

Tulipokuwa shule tulisoma kuwa jua halizunguruki, ila dunia ndio huzunguka jua.

Soma Zaidi...
(xiii)Huwa muaminifu
(xiii)Huwa muaminifu

Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana.

Soma Zaidi...
Kitabu Cha  Quran na sayansi
Kitabu Cha Quran na sayansi

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...
Kitabu Cha  Darsa za Sira
Kitabu Cha Darsa za Sira

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...