Quran haikunukuliwa kutoka kwa mayahisdi na wakristo
(vi)Madai Kuwa Mtume (s.
(vi)Madai Kuwa Mtume (s.a.w) Aliandika Qur-an kwa Msaada wa Mayahudi na Wakristo:
Tunakutana na madai mengine kuwa Mtume (s.a.w) aliandika Qur-an baada ya kusoma Biblia au wengine wanadai kuwa alifundishwa na Mayahudi na Wakristo ndio naye akaandika Qur-an kwa kuzingatia wakati na watu aliokuwa nao. Makafiri wa karne hii sio tu walioanzisha madai haya bali madai haya ni makongwe kama ilivyo kongwe Qur-an yenyewe.
Pametolewa madai mengi ya namna hii kuanzia karne hizo za kushushwa Qur-an kwa Mtume (s.a.w) mpaka hivi leo. Hebu tuangalie dai hili la baadhi ya makafiri wa karne hizi za usoni ambalo limegawanyika katika sehemu zifuatazo:
(a)Dai la Kufundishwa na Padri Bahira:
(b)Dai la Kunakili Biblia
(c)Dai la Kufundishwa na Jabir na Yasir:
Kurasa zijazo tutakwenda kuona dai moja moja kati ya haya na udhaifu wake.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 ai web app 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Nini maana ya Iqlab katika hukumu za tajwid
Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
Soma Zaidi...Tafsiri na mafunzo ya sura zilizochaguliwa - Saratul-fiyl
Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Hukumu za waqfu na Ibtida
waqfu ni misimamo ambapo msomaji wa Quran anaruhusiwa kusimama, kuhema au kumeza mate. Na ibtidai ni kuanza baada ya kutoka kwenye waqf
Soma Zaidi...