Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake

Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake

Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,

Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake.

1.vyakula vya wanga.

Ni Aina mojawapo ya vyakula ambayo kazi yake kuu ni kuongeza nguvu kwenye mwili,maana mwili bila vyakula vyenye wanga ni matatizo makubwa yanayoweza kujitokeza, vyakula vya ni Kama vile,  mihogo, mahindi, viazi vitamu na viazi vikuu, maharage , mahindi na vyakula vingine vingi.

 

Ukosefu wa vyakula vya wanga mtu anaweza kupata magonjwa yafuatayo kama vile mwili kukosa nguvu, kukosa mafuta kwenye ngozi ya juu, misuli kulegea, kukonda na kukosa nguvu mwilini kwa hiyo ni muhimu kula sana vyakula vya wanga Ili kupata mwili nguvu.

 

3. Vyakula vya mafuta.

Hivi ni vyakula ambavyo utumika kuongezeka nguvu kwenye mwili ikiwa kiasi Cha wanga ni kidogo kwa hiyo mtu akikosa wanga anaanza kutumia vyakula vya mafuta na pia vyakula vya mafuta usaidia kuongeza nguvu kwenye mwili.na pia vyakula vya mafuta usaidia kusafirisha vitamini D, vitamini A, vitamini E, na Vitamini K kwenye mwili.

 

Vyakula vya mafuta upatikana kwenye wanyama kama vile mafuta ya ngombe na kwenye mimea kama vile mafuta kutoka kwenye alizeti, pamba na mimea mwingine mingi ambayo utoa mafuta.ukosefu wa mafuta mtu anaweza kuwa na kinga mibaya kwenye mwili na mwili kuwa na makovu pengine nywele kuisha kwenye kichwa kwa hiyo tunapaswa kutumia vyakula vyenye mafuta Ila kwa kiwango kidogo ukiulinganisha na vyakula vingine.

 

5. Vyakula vya protein

hivi ni vyakula ambavyo ufanya kazi kubwa mwilini kama vile, kusaidia katika makuzi hasa kwa watoto wadogo na pia kusaidia kuponyesha kwa viungo vilivyoharibika na pia usaidia kutengeneza enzyme, homoni, na pia ni asili ya nguvu kwenye mwili.

 

proteini upatikana kwenye wanyama kama vile nyama, maini , maziwa na cheese na pia Kuna wadudu kama vile senene na kumbikumbi nao pia usababisha kuongezeka kwa protini mwilini.ukosefu wa protein usababisha kudumaa hasa kwa watoto na kinga kuwa ndogo kwenye mwili na pia kuvimba miguu na sehemu nyingine za mwili ambapo kwa kitaalamu huitwa (oedema).

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 4731

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 ai web app     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume.

Tatizo la nguvu za kiume linawwza kuzuiliwa ama kupunguzwa kwa kutumia muunganimo wa njiankadhaa kama kubaduki vyakula, kutumia dawa, kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano ama kufanya nazoezi. Je na wewe unasumbuliwa na tatizo hili? Makala hii

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula kungumanga/nutmeg

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...
Vyakula muhimu kwa kulinda afya ya macho - Epuka upofu kwa kula vyakula hivi

Matatizo ya macho yanaweza kuruthiwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto. hata hivyo shughuli zetu na vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo haya. Hapa nitakuletea vyakula muhimu kwa afya ya macho yako.

Soma Zaidi...