image

Aina za ajali kwenye kifua,

Post hii inahusu Zaidi aina za ajali kwenye kifua,pamoja na kifua kuwa na sehemu mbalimbali na pia na ajali ambazo utokea Huwa za aina mbalimbali kama tutakavyoona.

Ajali kwenye kifua.

1. Kuwepo Kwa hewa kwenye ukuta wa moyo au mapafu.

Kama ajali ikitokea uleta madhara ambapo hewa uingia kwenye Kuta za moyo na mapafu ambazo usababisha kuwepo Kwa maambukizi kwenye sehemu hizo na kuweza kuleta kitu kingine.kwa kitaalamu hali hii huitwa pneumothorax.

 

 

2. Kuwepo Kwa damu kwenye Kuta za moyo na mapafu au sehemu yoyote ile iliyozunguka kifua.

Kwa wakati mwingine kunakuwepo na damu kwenye mapafu, moyo au sehemu yoyote ile ambayo uzunguka kifua,Kwa sababu pale mtu akipata ajali usababisha mishipa kupasuka na kuwepo Kwa damu kwenye sehemu za kifua.

 

 

 

3. Kuwepo Kwa mivunjiko midogo midogo kwenye pingingili za kwenye kifua.

Kuna wakati mwingine kwenye kifua panakuwepo na mivunjiko midogo midogo ambayo usababishwa na ajali au kitu chochote ambacho uingia kwenye kifua na Kwa kawaida umfanya mgonjwa kuhisi maumivu Makali.

 

 

 

4. Kuwepo na majeraha kwenye nyama za moyo na pengine kuharibika Kwa mishipa ya artery.

Kwa kawaida ajali ikitokea usababisha kuwepo Kwa mishutuko kwenye sehemu za kifua hasa kwenye nyama nyama za moyo na kusababisha mishipa ya kwenye moyo kupasuka na mtu ambaye amepata ajary uweza kutoa damu kupitia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye pua au kwenye mdomo,Kwa hiyo ni vizuri kabisa ukiona ajali imetokea kuangalia Kwa kutumia wataalamu ili kuona ni sahemu gani ambapo damu zibatoka na kuanza matibabu mara moja.

 

 

 

5. Pia kuwepo Kwa majeraaha kwenye sehemu za mapafu.

Kuna wakati mwingine ajali kwenye sehemu za kifua ikitokea usababisha kuwepo Kwa majeraaha kwenye sehemu za mapafu na kusababisha kuwepo Kwa maambukizi ikiwa matibabu hayatatokea mapema na pia  na pia usababisha mgonjwa kukohoa na kutoa by mapiovu





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 496


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Madhara ya kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu
Post hii inahusu Zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu. Soma Zaidi...

Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni.
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Soma Zaidi...

Dalili za presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Dengue
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mbu anayasambaza Ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa Aedes mosquito . Soma Zaidi...

Njia za kupambana na fangasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi Soma Zaidi...

Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?
Dalili za mimba zinaweza kuanzia kuonekana mapema ndani ya wiki ya kwanza, japo sio rahisi nabhakuna uthibitishobwa uhakika juu ya kauli hii. Makala hii itakwebda kujibubswali la msingi la muuulizaji kama maumivu ya tumbo ni dalili ya ujauzito. Soma Zaidi...

Dalili za UTI kwa wanaume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanaume Soma Zaidi...

Dalili za Kiharusi Cha joto la mwili.
Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kufichuliwa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto Soma Zaidi...

Vidonda vya tumbo chanzo chake na dalili zake
Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula. Soma Zaidi...

KISUKARI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Ugonjwa wa vitiligo, chanzo, dalili na matibabu yake
Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje Soma Zaidi...

Homa ya Dengue, dalili za homa ya dengue na Njia ya kujikinga nayo
HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu. Soma Zaidi...