image

Aina za hadithi

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

-    Kuna aina kuu mbili za Hadith.

  1. Hadith an-Nabawiyyi.

-  Ni Hadith ambayo matin yake ni kauli ya Mtume (s.a.w) mwenyewe katika  

    kuelezea jambo.

-  Huanza kwa kauli; amesema Mtume wa Allah, “…………” 

 

  1. Hadith Qudusiyyi.

                -  Ni Hadith ambayo matin yake (msimulizi wake) ni kauli ya Mtume (s.a.w) 

    kama alivyoipokea kutoka kwa Allah (s.w) nje ya Qur’an.  

 

-  Huanza kwa kauli; mfano: Abu Hurairah (r.a) amesimulia kuwa Mtume wa 

   Allah amesema, Allah (s.w) amesema, “…...” Matin yake ni kauli ya Allah     

   katika “………”.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2851


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

tawhid
Soma Zaidi...

kuwa mwenye huruma na faida zake
25. Soma Zaidi...

KULA HALALI NA ZILICHO KIZURI NI AMRI KATIKA UISLAMU
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَي... Soma Zaidi...

Kitabu Cha Darsa za Funga
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

kuwa mwenye kusamehe, na faida zake
27. Soma Zaidi...

MAADILI MEMA KATIKA UISLAMU
Yajuwe maadili mema yaliyotajwa katika quran Soma Zaidi...

HUYU NDIYE MUUMINI WA KWELI KATIKA UISLAMU
عَنْ أَبِي حَمْزَةَ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ خَادِمِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم عَنْ النَّبِيِّ صلى الله عليه ?... Soma Zaidi...

(xi)Hutoa Zakat na Sadakat
Waumini wa kweli waliofuzu hutoa Zakat wakiwa na mali na hutoa misaada na huduma waziwezazo kwa wanaadamu wenziwe kwa kadiri ya haja ilivyojitokeza. Soma Zaidi...

jamii somo la 26
(vii)Hufanya bias hara na Allah (s. Soma Zaidi...

Zoezi la 5
Maswali mbalimbali kuhusu fiqih Soma Zaidi...

Nini maana ya Uchoyo, na madhara yake kwenye jamii
31. Soma Zaidi...

Zoezi - 3:
1. Soma Zaidi...