Aina za kuungua
Post hii inahusu Aina za kuungua, kuungua ni Hali ya kubabuka kwa ngozi ya mwili na kusababisha madhara mbalimbali
Aina za kuungua
1. Kuunguzwa na vitu vikavu kama mshumaa,Kuni na chuma chenye moto
2. Kuungua kwa vitu vyenye maji maji kama vile mvuke,chai, mafuta yanayochemka na uji
3. Kuungua na umeme, hasa hasa kama miundo mbinu ya umeme kama haiko sawa
4. Kuungua kwa vitu vya baridi sana kama vile barafu na maji yenye baridi sana ambayo hufanya ngozi ibabuke
5. Kuungua na kemikali hasa kwenye maabara ya phizikia na kemia, kemikali hizo uunguza sehemu za mwili na kuubabua
6. Kuungua kwa mionzi, hii inatokea hasa kwa wagonjwa wa Kansa
7. Kuungua na miali ya mwanga wowote kutoka kwenye jua au kutoka kwenye chanzo chochote cha mwanga.
Kwa hiyo baada ya kujua Aina za kuungua inabidi tuwa makini na Aina zozote za vyanzo vinavyosababisha kuungua. Na tujue kuwa kuungua sio vitu vya moto tu Ila na vitu vingine kama tulivyoolodhesha hapo juu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 web hosting 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 ai web app 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu kazi za ini.
Posti hii inahusu zaidi kazi za ini, kwa kawaida tunafahamu kwamba ini ni sehemu muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa sababu ni.likikosa kufanya kazi yake maisha ya binadamu yanakuwa hatarini kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATA JOTO LA JUU ZAIDI (HEAT STROKE)
Hii ni hali inayotokea ambapo wili unakuwa na joto la juu sana tofauti na kawaida.
Soma Zaidi...Sababu Zinazopelekea maumivu ya shingo.
Maumivu ya shingo ni malalamiko ya kawaida. Misuli ya shingo inaweza kuchujwa kutokana na mkao mbaya - iwe inaegemea kwenye kompyuta yako kazini au kuwinda benchi yako ya kazi nyumbani.
Soma Zaidi...