image

Aina za tawafu

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Tawaful-Quduum.

-    Ni tawafu (ya Umrah) inayofanywa mara tu baada ya kuingia Makkah kwa ajili ya Hija au Umrah.

 

-    Wanaume huvalia vipande viwili vya shuka, moja kiunoni na nyingine hufungwa lubega kwa kuacha wazi bega la kushoto (Iztibaa).

 

-    Wwanaume hutembea mwendo wa matiti (jogging) (kukimbia - Ramal) mizunguko ya tatu ya mwanzo na minne iliyobaki kawaida. 

 

  1. Tawaful – Ifadha (Tawafu ya Nguzo).

-    Ni tawafu ya Hija inayofanywa siku ya mwezi 10, Dhul-Hija. Pia inaitwa Tawafuz-Ziyaara.

-    Hakuna Iztibaa na Ramal katika tawafu hii.



 

  1. Tawaful-Widaa.

-    Ni tawafu ya kuaga inayofanyika baada ya kumaliza Umrah au Hija tayari kurejea majumbani mwao.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2971


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

NINI MAANA YA KUSIMAMISHA SWALA, KATIKA UISLAMU (NI YUPI TARQU SWALA) yaani mwenye kuacha swala)
Kusimamisha Swala. Soma Zaidi...

Namna ya Kutayamam hatua kwa hatua, suna zake nguzo za kutayamam na masharti ya kutayamam
Soma Zaidi...

Sera ya uchumi katika Uislamu
4. Soma Zaidi...

Umuhimu na msisitizowa zakat na sadaqat katika uislamu
Nguzo za uislamu,umuhimu na msisitizowa zakat na sadaqat katika uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Ni zipi siku ambazo ni haramu kufunga? na ni kwa nini hairuhusiwi kufunga katika siku hizo
Soma Zaidi...

namna ya kuswali swala ya msafiri, nguzo zake na hukumu zake
Soma Zaidi...

Usawa katika uchumi wa kiislamu
5. Soma Zaidi...

familia
Soma Zaidi...

Hizi ndio nyakati za swala tano na jinsi ya kuchunga nyakati za swala.
Posti hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi yavkuchunga nyakatibza swala tano. Soma Zaidi...

Masharti ya swala
Sharti za SwalaSharti za Swala Sharti za swala ni yale mambo ya lazima anayotakiwa Muislamu ayachunge na kuyatekeleza kabla hajaanza kuswali. Soma Zaidi...

Swala ya ijumaa, nguzo zake na suna zae, namna ya kuswali swala ya ijumaa
Soma Zaidi...

Swala ya kuomba mvua swalat istiqaa na jinsi ya kuiswali.
Hapa nitakujulisha kuhusu swala ya kuomba mvia, na taratibu za kuiswali. Soma Zaidi...