Posti hii inakwenda kukusimulia hadithi za alifu lela ulela
ALIF LELA U LELA.
UTANGULIZI
Hizi ni hadithi zilizoenea duniani kote na zimekuwa zikisimuliwa kwa watot na hata watu wazima. Hadithi hizi zina asili ya bara la arabu. Hadithi hizi zimekuwa zikitafasiriwa kwenye lugha nyingi sana. Neno ALIF LELA U LELA lina maana miaka elfu moja na moja. Na hadithi hizi hufhamika kwa lugha ya kiingereza kama ARABIAN NIGHT.
Hadithi hizi zimetafasiriwa katika lugha nyingi mpaka katika lugha za kiswahili. Changamoto ya masimulizi haya ni kuwa yamesheheni lugha ngumu sana kulinganisha na uhalisia wa maisha yetu ya leo. Hivyo inakuwa vigumu kuelewa baadhi ya manenno nini hasa kimekusudiwa. Pia tamaduni zilizotumiwa na wahusika wa hadithi hizi ni za kiarabu, kihindi na kiajemi kiasi kwamba ni ngumu kuelewa baadhi ya vipengele.
Baada ya kuliona hili nimejaribu kutohoa hadithi hizi na kuziweka katika lugha iliyo rahisi kabisa na inayoendana na mazingira ya wakati huu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuendelezea hadithi kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultan
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea hadithi ya kilema, mtanashati asiye na mkono
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa hadithi za alifu lela ulela
Soma Zaidi...DENI LA MAPENZI Badisiku ambayo niliamua niuze vitu vya ndani kwangu ili nilipe madeni ya watu, ndipo yule binti akatokea tena.
Soma Zaidi...