Posti hii inahusu zaidi adhari za ugonjwa wa Homa ya inni, hizi ni athari ambazo zinaweza kutokea ikiwa ugonjwa huu wa inni haujatibiwa, zifuatazo ni athari za ugonjwa wa inni
Athari za Ugonjwa wa inni.
1. Kutokea kwa saratani ya inni.
Ugonjwa wa inni usipotibiwa unaweza kuleta madhara makubwa ambayo ni kuwepo kwa saratani ya ini, tunajua kuwa inni Lina kazi nyingi kwenye mwili wa binadamu kwa hiyo likishindwa kufanya kazi yake vizuri matatizo mengi yanaweza kujitokeza kwenye mfumo mzima wa binadamu kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye inni usababisha kuzalishwa kwa seli ambazo haziitajiwi ndizo usababisha saratani kwenye inii.kwa hiyo jamii inapaswa kujua Dalili za Homa ya inni na kupima mara kwa mara na kuangalia kama Kuna maambukizi au Kuna chanjo ya Homa ya inni unatolewa kwa watu wote yaana watoto na watu wazima, kwa hiyo watu wanapaswa kupata chanjo hiyo Ili kujiepusha na janga hili la Homa ya inni.
2. Kusinyaa kwa ini.
Kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye ini kunakuwepo na hali ya kusinyaa kwa ini na hivyo kufanya ini kushindwa kufaulu kazi zake za kawaida ipasavyo kwenye sehemu mbalimbali za mwili na hivyo kuufanya mwili kudhoofika na pengine mgonjwa mengine yanaweza kutokea kwa sababu ya ini kusinyaa na kutofanya kazi zake vizuri kwenye mwili wa binadamu. Kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu mapema ipasavyo Ili kuweza kuleta magonjwa mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
3. Kuendelea kusambaa kwa ugonjwa huu wa inni.
Ugonjwa huu wa ini usipotibiwa mapema madhara yake ni kuendelea kusambaa kwa ugonjwa huu kwa sababu watu hawataweza kujiadhari na ugonjwa huu wataendelea kuishi kawaida bila tahadhari yoyote kwa hiyo kitakachotokea ni kuendelea kusambaa kwa watu mbalimbali na hatimaye kuleta madhara makubwa zaidi na kwa wakati mwingine ugonjwa huu usipodhibitiwa mapema unaweza kuleta kifo kwa sababu ni ugonjwa wa hatari.
4. Kwa hiyo jamii inapaswa kujua Dalili za ugonjwa wa Homa ya ini, namna ya kuzuia, njia za maambukizi na kuhakikisha kuwa watu wanapatwa chanjo hasa watoto wadogo ambao chanjo zao zina tolewa Bure na kuhakikisha kuwa wale wote wenye Imani potofu kuhusu chanjo ya Homa ya ini wapewe Elimu ya kutosha juu ya chanjo hii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa uti wa mgongo, ni ugonjwa unaoshambulia sehemu inayofunika ubongo na pia sehemu ya spinal cord
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Soma Zaidi...Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wa tishu za matiti kwa wavulana au wanaume, unaosababishwa na kutofautiana kwa homoni za estrojeni na testosterone. Pia unaweza kuathiri matiti moja au zote mbili, wakati mwingine bila usawa. Watoto wachanga,
Soma Zaidi...Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mambo hatari yanayosababisha ugonjwa wa moyo.
Soma Zaidi...MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili.
Soma Zaidi...Ugonjwa sugu wa figo, pia huitwa kushindwa kwa figo sugu, huelezea upotevu wa taratibu wa utendakazi wa figo. Figo zako huchuja taka na Majimaji kupita kiasi kutoka kwa damu yako, ambayo hutolewa kwenye mkojo wako. Ugonjwa sugu wa figo unapofikia hatua
Soma Zaidi...