BLUEBERRY


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula blueberry


Buluu beri (blueberry)

Ni katika matunda yanayotambulika kuwa na virutubisho vingi mwilini.. Tunda hili hutambulika kuwa na vitamini c kwa wingi, vitamini K na madini ya manganese. Pia tunda hili lina kambakamba yaani fiber. Itambulike kuwa vitamini C ni katika vitamini vinavyofanya kazi kubwa sana kulinda afya na kuupa mwili uwezo wa kupambana na maradhi kuliko aina nyinginezo za vitamini.

 

Pia tunda hili lina antoxidant kwa wingi. Hii husaidia katika kupambana na maradhi ndani ya mwili. Antoxidant huzuia mwili usipatwe na maradhi hatari shambulizi kama shambulizi la moyo, kisukari na mengineyo.

 

Tunda hili pia husaidia katika kufanya madhubuti mfumo wa kinga wa mwili yaani immune system. Wataalamu wamegundua kuwa tunda hili husaidia katika kuuwa seli yaani natural killer cell hali hii husaidia mwili katika kupambana na athari za stress yaani msongo wa mawazo pamoja na mashambulizi ya virusi yaani viral infections.

 

Pia tafiti za kisayansi zimeonesha kuwa tunda hili husaidia katika kuimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu. Husaidia tatizo la kupoteza kumbukumbu hasa kwa wazee. Tunda hili ni katika orodha ya matunda ambayo yanajulikana kwa uwezo wake wa kusaidia katika kutunza kumbukumbu na kuondoa tatizo la kusahausahau.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Nazi (coconut oil)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi/peas Soma Zaidi...

image Faida za limao au ndimu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao Soma Zaidi...

image Nanasi (pineapple)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula nanasi Soma Zaidi...

image Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai Soma Zaidi...

image Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kula embe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple Soma Zaidi...

image Faida za kula apple (tufaha)
Posti hii itakwende kukueleza kuhusu faida za kula apple na umuhimu wake kiafya Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za nyanya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya Soma Zaidi...