Nataka nikufundishe moja katika maajabu ya mdudu Buibui kwa lugha ya kimombo spider.
Buibui ni katika wadudu wenye maajabu sana. Hivi unajuwa kama hizi wa buibui ni imara kuliko chuma?
Tuachane na hilo, kuna hili , hivibumeshawahi kukumba uzi wa buibui ukiwa unatembea halafu usijuwe uzi huo umetoka wapi, hakuna miti wala majani marefu.
Tafiti zinaonyesha kuwa mdudu Buibui anaweza kupuruka ijapokuwa hana mabawa. Buibui wanaweza kueleza angani.
Wataalamu wanaeleza kiwa Buibui hutumia Umeme wa dunia ambao upo angani ili kuweza kuruka hewani.
Ipo hivi kama unavyoona radi ni umeme ule. Sasa huku ardhini kunakuwa na chaji hasi na angani kunakuwa na chaji chanya. Kawaida umeme ni sawa na sumaku huvutana.
Sasa buibui akiwa ardhini uzi wake unakuwa na chaji hasi. Pale anapotaka kuoiruka kuangalia kama anganibkuna umeme wa kutosha. Anapojiridhisha kutoa uzi wake ule wenye chaji hasi na huvutwa angani ambapo kina chaji chanya.
Hivyo huweza kuruka angani na kuelea na kwenda anapotaka. Bado wanasayansi hawajaelewa zaidi kuhusu undani wa jambo hili. Hivyo basivtafiti zaidi zinahitajika.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kama wewe ni Muandishi mzuri za hadithi au makala za kutoa elimu kwa watu na unataka kazi yako iwafikie watu wengi, au unataka kazi yako iweze kukuingizia kipato, Bongoclass ndio mtatuzi wako sasa.
Soma Zaidi...Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini.
Soma Zaidi...Hapa utakwenda kujifunza namna ambavyo ukoloni uliingia Tanzania na vipindi vyake. Utajifunza hatuwa ambazo ukoloni uliweza kupiti na hatimay kuitawala Tanzania
Soma Zaidi...Wahenga wanaelewa, enzi hizo unaambiwa ndege akinasa basi unakumbuka macho juu asije akayoke. Hukuchinib. hujali kama kuna mjimba ama nini
Soma Zaidi...Unaweza kuwasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, kwa kutumia jina la Bongclass.
Soma Zaidi...