Kundi la Makala

BONGOCLASS


Nini husababisha mdomo kuwa mchungu
NINI HUSABABISHA MDOMO KUWA MCHUNGU

Mdomo kuwa mchungu ni hali inayowasumbua watu wengi, hasa wakati wa asubuhi wanapoamka. Tatizo hili linaweza kusababishwa na vyakula, maradhi mbalimbali, matumizi ya dawa fulani, au mtindo wa maisha. Somo hili linaeleza sababu zake, kwa nini hutokea sana asubuhi, uhusiano wake na malaria, pamoja na njia za kuzuia au kupunguza tatizo.

 DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO
DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO

DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO Dawa za kukabiliana na zaidi ambazo zina calcium carbonate (Tums, Rolaids), zinaweza kusaidia kutibu vidonda vya tumbo lakini hazipaswi kutumiwa kama matibabu ya msingi.

Fangasi wa kwenye uke.
FANGASI WA KWENYE UKE.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.

NINI VIDONDA VYA TUMBO?
NINI VIDONDA VYA TUMBO?

Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.