Posti hii inahusu zaidi changamoto za kwenye ndoa kwa wale waliotoa mimba mara Kwa mara,hizi ni changamoto za wakati wa kufanya tendo na mme wake au mtu mwingine kwa ajili ya kupata mtoto.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa wale waliotoa mimba mara Kuna kipindi wakati wakiwa tayari kwenye maisha yao na kutaka kuanza maisha Kuna mambo ambayo wanakutana nayo katika tendo la ndoa changamoto hizo ni kama zifuatazo.
.
2. Uke kuwa mkavu.
Kwa wale waliotoa mimba mara Kwa mara Kuna uwezekano wa uke kuwa mkavu hii inawezekana kwa sababu mbalimbali au ni kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwa sababu ya kutembea na waume wengi au pengine ni kwa sababu ya matumizi ya madawa mbalimbali yenye kemikali yanayoingizwa kwenye uke kwa sababu ya kutoa mimba , kwa hiyo mama hawezi kufurahia tendo kwa sababu ya kuwepo kwa uke mkavu na pia mwanaume anaweza kutoka nje ya ndoa kwa sababu ya kukutana na ukavu kila siku.
3. Kuwepo kwa hali ya kupungua kwa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.
Kwa Sababu kwenye uke Kuna ukavu na pia wakati wa tendo la ndoa ni lazima kunakuwepo na maumivu makali sana kwa hiyo inakuwa vigumu sana na pia mama au dada anakosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa hali inayopelekea kuwepo kwa kutoelewana katika familia na vile vile usababisha mwanaume kutoka nje ya ndoa hali inayopelekea kuwepo kwa magonjwa mbalimbali kwenye familia , yaani kama vile kisonono, kaswende na magonjwa mbalimbali ya ngono kwa sababu ya kutoka nje ya ndoa.
4. Kwa mara nyingine kunakuwepo na hali ya kushindwa kufika kileleni na pia na kuwepo kwa maumivu wakati wa tendo la ndoa, kwa hiyo ni vizuri kabisa kwa akina dada kuwa makini katika maandalizi ya kuwa Mama kwa sababu kitendo cha siku Moja usababisha matatizo ya kudumu kwa hiyo ni vizuri kabisa walau kitumia niia za uzazi wa mpango kuliko kutumia ngono zembe na kusababisha kujiletea matatizo mbalimbali na kuweza kupata shida na masikitiko maisha Yako yote.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi ukeni, madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo mtu hakutibiwa fangasi mapema.
Soma Zaidi...Utawezaje kukabiliana na changamoto za ujauzito, je ni zipi changamoto hizo. Hapa nitakujuza.
Soma Zaidi...Posti inahusu nzaidi kufunga kwa mishipa ya machozi ya mtoto kwa kawaida mishipa ya mtoto inapaswa kufunguka baada ya mwaka mmoja lakini kwa wengine ubaki imefungwa hata baada ya mwaka mmoja na kusababisha madhara mbalimbali kwa mtoto.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ongezeko la homoni ya estrogen, kwa kawaida homoni hii ya estrogen inapaswa kulingana ikitokea ikaongezeka uleta madhara mbalimbali kwenye mwili na Kuna dalili ambazo zzz inaweza kujionesha wazi mpaka tukafahamu kuwa ni tatizo la o
Soma Zaidi...Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za mwanzoni za mimba changa kuanzia wiki moja baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupima mimba kwa kutumia chumvi sukari na sabuni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa Mwanaume, ni njia ambazo utumiwa na wataalam mbalimbali Ili kuweza kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume.
Soma Zaidi...Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...