Chemsha bongo na bongoclass
Jipime uwezo wako wa kufikiri pamoja nasi.
16.Kifo
Hapozamani kulikuwa na mzee mwenye watoto watatu. Mzee alifanya kosa kwa jini mmoja. Jini akamwambia nitakuuwa. Mtot wa kwanza wa mzee akamuombea baba yake kwa jini ampe miaka miwili ajiandae kisha aje kumuua.
Baada ya miaka miwili akaja. Mtoto wa pili wa mzee akaomba kwa jini ampe mwaka mmoja zaidi baba yake ajipange. Jini akakubali, ha mwaka ulipoisha akarudi. Mara hii moto wa mwisho akaja na mshumaa akamwambia mpe baba muda mpaka huu mshumaa unaowaka hapa utakapoisha. Jini akakubali na akaondoka akisubiri mshumaa uishe.Hatimaye jini hakurudi tena unadhani mtot wa mwisho alitumia mbinu gani?
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
NIMLAUMU NANI (sehemu ya nne)
Post hii inahusu zaidi kijana Frank anayelazimishwa kuolewa na Amisa yeye hayuko tayari ila kwa sababu ya maisha kuwa magumu anaamua kulala na Amina na kumbebesha Mimba ya watoto mapacha.
Soma Zaidi...WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 2
Post hii ni mwendelezo wa hadithi ambayo Kwa jina inaitwa wakati wa Kufumbuka, ni mwendelezo wa pale maria anawekwa mbele ya wazee Ili akili kwamba John sio mtoto wa Mzee maganga ila maria akikumbuka wazi kwamba John ni mtoto wa Mzee maganga anakataa kuki
Soma Zaidi...Ni nani kama mama
Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.
Soma Zaidi...Hasara za wivu na kutokuwa wazi ( sehemu ya 2)
Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu na kutokuwa wazi sehemu ya pili, sehemu hii inahusu mama Lisa anaenda kwa mama lina ili kuuliza kinachoendelea kwa mtoto wake , kwa hiyo tuona atapata jibu gani.
Soma Zaidi...Hasara za wivu na kutokuwa wazi (sehemu ya 3)
Posti hii inahusu zaidi hasara za kuwa na wivu na kutokuwa wazi, sehemu hii inahusu zaidi maendeleo ya Lisa shuleni yanakuwa mabaya zaidi na lina anaendelea kumtunzia siri lengo lake lina ni kuendelea kuwa wa kwanza darasani.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
Soma Zaidi...