image

Choo kisichokuwa cha kawaida

Posti hii inahusu zaidi Aina ya choo kisichokuwa cha kawaida, ni dalili za choo ambacho siyo Cha kawaida, Ina maana ukiona dalili za choo Cha Aina hii ni vizuri kwenda hospitalini Ili kupata matibabu.

Choo kisichokuwa cha kawaida.

1. Choo kuwa kigumu.

Choo kisichokuwa huwa ni kigumu na Kuna shida wakati wa kutoa choo hicho kwa kitaalamu huitwa constipation, hali hii uwatokea hasa watu wale ambao huwa hawanywi maji ambapo maji ufyonzwa kwenye choo na kwenda kufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili , choo hiki kwa kawaida huwa na kikavu kabisa, wakati mwingine mtu ufikishwa hospitalini na kupata matibabu zaidi kwa sababu ya choo kuwa kigumu, kwa hiyo watu wanashauliwa kunywa maji kwa wingi Ili kufanya choo kuwa laini.

 

2. Kinyesi kuwa kilaini au kuharisha.

Ni kitendo Cha kupitisha kinyesi kama maji , kinyesi hiki huwa ni maji  hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye tumbo ambapo pengine mtu anakuwa amekula chakula kichafu au pengine ni kwa sababu ya magonjwa ambayo yapo mwilini, kwa hali ya kawaida kinyesi hakipaswa kuwa hivi kinapaswa kuwa Cha kawaida bila kuwa kwenye mfumo wa maji, kwa hiyo kuharisha ni kitendo mibaya ambacho upelekea kuishiwa na maji mwilini na kusababisha madhara mengine makubwa zaidi ambayo huwezi kutengeneza, kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kuwa kinyesi kinakuwa Cha kawaida.

 

3. Kinyesi kuwa na damu.

Hali ya kinyesi hiki siyo ya kawaida kwa sababu kinyesi hakipaswa kuwa na damu, hali ya kinyesi kuwa na damu ni kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye sehemu mbalimbali kama vile kwenye coloni na sehemu nyingine ambapo kinyesi upitia na kutoka nje  kwa hiyo ikiwa mtu anaona damu kwenye kinyesi anapaswa kwenda hospitalini kupima.

 

4. Kinyesi kuwa na rangi ya kijani.

Hii ni Aina ya kinyesi ambapo kinyesi kinakuwa na rangi ya kijani kwa sababu mbalimbali kama vile kuwepo kwa matatizo kwenye mmengenyo wa chakula na mara nyingine kula sana mboga za majani ufanya kinyesi kuwa na rangi ya kijani. Kwa hiyo kinyesi kikiwa na rangi ya kijani tunapaswa kwenda hospitalini Ili kuangalia shida ni nini?. Itambulik kuwa kama ulikula mboga za majani huwenda ikasababisha kinyesi kuwa cha kijani, hivyo hakuna haja ya kuogopa.

 

5. Kuwepo kwa Ute mwingi kwenye kinyesi na pia kuwepo kwa usaha kwenye kinyesi.

Hali hii ya kuwepo kwa usaha na Ute kwenye kinyesi sio hali ya amani labda Kuna maambukizi yoyote kwenye sehemu ambapo kinyesi upitia na Aina ya chakula ambacho mtu utumia Mara kwa mara na ufanya kuwepo kwa Ute mwingi kwenye kinyesi, kwa hiyo hali hii sio nzuri inabidi kuchukua vipimo maana Pana uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2251


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu, kama mtu amepoteza fahamu Kuna mambo muhimu yanapaswa kuangaliwa kwa makini kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani. Soma Zaidi...

Umuhimu wa uterusi
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye uchafu kwenye sikio.
Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kqa mgonjwa aliyeingiliwa na kitu au uchafu kwenye sikio. Soma Zaidi...

Aina za mishipa inayosafilisha damu mwilni
Post hii inahusu zaidi mishipa inayosafilisha damu mwilni, ni Aina tatu za mishipa ambazo usafilisha damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine Soma Zaidi...

Kumsaidia mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote machoni
Posti hii inahusu hasa jinsi uchafu, wadudu na vitu vingine vinavyoweza kuingia machoni.macho ni mojawapo ya milango mitano ya fahamu ambapo kazi yake ni kuona. Soma Zaidi...

Upungufu wa vitamin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin Soma Zaidi...

Utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyeaha
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha Soma Zaidi...

Mkojo mchafu na Rangi za mikojo na maana zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Rangi za mkojo na maana zake na mkojo mchafu Soma Zaidi...

Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPATWA NA SHAMBULIO LA MOYO
Soma Zaidi...

Namna ya kumsaidia mgonjwa aliye na Maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...