Dalili kwa mtu anayeharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitia kinyesi chenye maji inawezekana kina damu au kisichokuwa na damu.
Dalili anapokuwa nazo mtu anayeharisha
I.Tumbo kuchomachoma kwa mgonjwa anayeharisha
2. Tumbo kuuma sana hasa kwa upande wa chini
3. Kwenda chooni mara kwa mara
4. Kusikia kichefuchefu kwa mgonjwa anayeharisha
5. Kutapika kwa mgonjwa anayeharisha
6. Pengine kuwa na usaha kwenye kinyesi
7. Kuwa na damu kwenye kinyesi
8. Kiasai Cha mkojo kupungua au kutokuwepo
9. Mgonjwa hatulii anaangaika kwa sababu ya maumivu.
10. Homa kupanda zaidi ya 38
Baada ya kusikia dalili kama hizi mgonjwa apaswa kupeleka hospital kwaajili ya matibabu zaidi,na dawa zipo hospitalini na ugonjwa huu unatibika.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Dua za Mitume na Manabii ๐2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina ๐3 Madrasa kiganjani ๐4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) ๐5 Kitabu cha Afya ๐6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Dalili za maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili.
Soma Zaidi...Vyakula Vinavyosaidia Afya ya Uzazi kwa Mwanamke: Mwongozo wa Lishe Bora
Muhtasari (Executive Summary) โAfya ya uzazi ya mwanamke inategemea kwa kiasi kikubwa uwiano wa vichocheo mwilini (hormonal balance), afya ya mayai (oocytes), na mazingira salama ya mfuko wa uzazi. Lishe duni inaweza kusababisha matatizo kama kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi au ugumu wa kupata ujauzito. Makala haya yanachambua vyakula vya asili vinavyosaidia kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke, kuboresha ute wa uzazi, na kuongeza nafasi ya kushika ujauzito kwa njia salama.
Soma Zaidi...Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa
Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia afya ya mwanaume
Afya ya mwanaume inahitaji muundo wa kipekee wa virutubisho ili kulinda moyo, kuongeza nguvu za mwili, kusawazisha homoni ya testosterone, na kuzuia matatizo ya tezi dume (prostate). Makala haya yanachambua vyakula vikuu vyenye uwezo wa kuimarisha afya ya wanaume, jinsi vinavyofanya kazi, na kuondoa dhana potofu zilizopo mitaani kuhusu vyakula vya kuongeza nguvu za kiume. โUtangulizi
Soma Zaidi...Sababu za maambukizi kwenye nephoni
Posti hii inahusu zaidi sababu za maambukizi kwenye nephroni, ni vitu vinavyosababisha mabukizi kwenye nephroni.
Soma Zaidi...Dalilili za saratani ya utumbo
Saratani ya Utumbo ni Saratani ya utumbo mpana (koloni), sehemu ya chini ya mfumo wako wa usagaji chakula. Kwa pamoja, mara nyingi hujulikana kama Saratani ya utumbo mpana. Visa vingi vya Saratani ya utumbo mpana huanza
Soma Zaidi...