Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Dalili za fangasi ukeni
1. Kuwasha sehemu za Siri
Hii ni dalili mojawapo kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi ukeni, utokea pale ambapo wadudu wanaosababisha fangusi usababisha michubuko sehemu za Siri na pale ikitokea majimaji kugusa sehemu za maambukizi mtu uhisi kuwasha sehemu za Siri.
2. Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
Hali hii utokea pale ambapo maambukizi yakisha enea sehemu mbalimbali za via vya uzazi maumivu makali wakati wa kujamiiana usababishwa na msuguano wakati wa kujamiiana na hivyo maumivu utokea wakati wa kujamiiana.
3.Kuhisi hali ya kuwaka moto hasa wakati wa kumaliza kujamiiana, hii hali utokea pale baada ya kujamiiana hii ni kwa sababu ya msuguano ambao utokea Kati ya sehemu ya maambukizi na uume kwa hiyo baada ya kujamiiana mtu usikia moto kuwaka kwenye sehemu za Siri.
4.Vidonda utokea ukeni.
Mtu mwenye matatizo ya fungasi ukeni huwa na matatizo ya vidonda ukeni, hali hii utokea kwa sababu ya wadudu walioshambulia sehemu za Siri usababisha kinga ya mwili kupungua na hatimaye kuenea kwa vidonda sehemu za Siri.
5. Kuvimba sehemu za Siri na rangi nyekundu utokea katika mdoma wa sehemu za Siri.
Hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye sehemu za Siri, ambapo wadudu ushambulia kwa kiwango kikubwa kwenye sehemu ya nje ya mdomo wa uke na kubadili rangi na kuwa nyekundu hali hii uambatana na kuvimba sehemu za ukeni kwa sababu ya maambukizi.
6. Kutokwa na uchafu kwenye sehemu za Siri.
Mtu mwenye matatizo ya fangasi ukeni daima utokwa na maji maji meupe ukeni hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye uke pale ambapo wadudu ushambulia sehemu mbalimbali na kusababisha majimaji mazito na meupe kutokea.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 2051
Sponsored links
👉1
Kitabu cha Afya
👉2
kitabu cha Simulizi
👉3
Simulizi za Hadithi Audio
👉4
Madrasa kiganjani
👉5
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6
Kitau cha Fiqh
Sababu za maumivu ya tumbo
hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo Soma Zaidi...
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu. Soma Zaidi...
Ukiwa na aleji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?
Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi? Soma Zaidi...
Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...
Maambukizi ya magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu athari za maambukizi ya magonjwa ya ngono ambapo magonjwa ya ngono isipokuwa UKIMWI yanatibika .mgonjwa anashauriwa kuwahi hospitali au kituo chochote cha afya kupata matibabu mara anapoona dalili za magonjwa haya. Soma Zaidi...
Dalili za Kuvimbiwa kwa watoto
Posti hii inazungumzia kuhusiana Kuvimbiwa kwa watoto ni tatizo la kawaida.Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi kuna sifa ya kupata haja kubwa mara kwa mara au kinyesi kigumu, kikavu. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha kuvimbiwa kwa watoto.Sababu za kawa Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa kichaa cha mbwa ,kwa kawaida Ugonjwa huu utokea kuanzia kwenye wiki ya pili mpaka mwaka mmoja na hapo Ugonjwa unakuwa bado haujaonesha Dalili na Dalili zikishaonekana ni vigumu kutibika. Soma Zaidi...
Zifahamu sofa za seli
Seli ni chembechembe hai ambazo zimo ndani ya mwili wa binadamu na hufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, binadamu hawezi kuishi bila seli. Soma Zaidi...
Dalili ya pressure ya kupanda
Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu mbalimbali.pressure hujulikana kwa jina lingine ambolo ni hypertension (pressure ya kupanda). presha hugundulika pale ambapo presha ya Soma Zaidi...
Je na kwa upande wa mwanaume kuumwa upande wa kushoto wa tumbo kuna shida gani?
Maumivu ya tumbo upande wa kushoti, kwa mwanamke huwenda ikawa ni ujauzito ama shida nyingine za kiafya kama tumbo kujaa gesi, kukosa choo na kadhalika. Sasa vipi kwa wanaume ni ipi hasa sababu❔ Soma Zaidi...