image

Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.

Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.

   Je,Ni Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua?

Zifuatazo zinaonenyesha Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua;

 1. Kutoka Damu nyingi ukeni na sehemu ya kidonda Kama amepasuliwa.hivyo Kuna baadhi yao Damu hutoka nyingi Sana na hupelekea mama kuwa katika Hali mbali mbaya.

 

2.kushindwa kupumua.

 

3.maumivu au kuumwa kichwa.maumivu haya huwa Ni makali Sana na hupelekea mama kushindwa kupumua vizuri.

 

4.kuvimba miguu (oedema)

 

5.kuvimba Matiti. Hii nayo ni Dalili mbaya kwa mama aliyejifungua.

 

6.kutokwa na usaha au majimaji yenye harufu mbaya.

 

7.kushindwa kukojoa.

 

8.Degedege.hii nayo Ni Dalili mbaya kwa mama aliyejifungua hivyo Dalili Kama hii hutakiwa kutolewa huduma ya haraka maana inaweza kusababisha madhara.

 

9.kuona maluweluwe (multiple vision)

 

10.kizunguzungu.

 

11.homa Kali.

 

Mwisho; mama aliyejifungua anatakiwa kupewa huduma nzuri ambayo utamsaidia wakati akipata Dalili za hatari hivyo basi Ni vyema kabisa kwa mama aliyejifungua apewe huduma nzuri na yauangalifu Ndani ya masaa ishirini na nne ili kuangalia Kama anamabadiliko mazuri au mabaya kwa mama na kwa Mtoto pia.

 

            

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/01/10/Monday - 11:51:50 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2096


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Mambo yanayopelekea ugumba.
Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi. Soma Zaidi...

Mambo ya kuzingatia kwa mama ili apate huduma endelevu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua. Soma Zaidi...

Faida na hasara za Kufunga kizazi kwa Wanaume
Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume. Soma Zaidi...

Kwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Je unaweza kunielezaKwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini? Soma Zaidi...

Namna ya kumtunza mtoto aliyezaliwa
Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa. Soma Zaidi...

Dawa ya chango na dawa maumivu ya tumbo la hedhi
Nitakujiza dawa ya chango na maumivu ya tumbo lahedhi, dalili zake na njia za kukabiliana na maumivu ya tumbo la chango. Soma Zaidi...

ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini
Soma Zaidi...

Post hii inahusu zaidi umuhimu wa kondo la nyuma
Kondo la nyuma ni sehemu ya mwili wa mama anapokuwa mjamziti,kondo la nyuma husaidia katika kazi mbalimbali katika ukuaji wa mtoto. Soma Zaidi...

Dalili za upungufu wa homoni ya progesterone
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone. Soma Zaidi...

Upungufu wa homoni ya cortisol
Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye Soma Zaidi...

Jifunze kuhusu Protini, Fati, Wanga na kazi zao mwilini na vyakula vinavyopatikaniwa kwa wingi
Soma Zaidi...

Dalili za kasoro ya moyo za kuzaliwa kwa watoto
Ikiwa mtoto wako ana kasoro ya moyo wa kuzaliwa, ina maana kwamba mtoto wako alizaliwa na tatizo katika muundo wa moyo wake. Baadhi ya kasoro za moyo za kuzaliwa kwa watoto ni rahisi na hazihitaji matibabu, kama vile tundu dogo kati ya chemba za moyo amb Soma Zaidi...