image

Dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa

Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa, ni dalili ambazo ujitokeza tu mtoto anapozaliwa kwa hiyo dalili hizi zinapaswa kuzuiwa ili zisilete madhara makubwa.

Dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa.

1. Kupumua haraka haraka.

Ni dalili mojawapo ya hatari kwa mtoto, hali hii utokea endapo mtoto upumua pumzi zaidi ya sitini kwa dakika akiwa amelala au amepumzika, hali hii ikitokea kwa mtoto anapaswa kupewa huduma ya kwanza na kuhakikisha kwamba upumuaji wa mtoto unarudi kwenye hali ya kawaida.

 

2. Kupata hewa kwa shida.

Hii ni mojawapo ya Dalili ya hatari kwa mtoto aliyezaliwa kwa sababu mtoto uanza kukosa hewa na ile ndogo anayoipata anaipata kwa shida  ambapo kifua uvuta kwa ndani, mtoto ukoloma , pua  kulazimika kutanuka na kufunguka wakati wa kulala na kupumzika , hali hii ikitokea kwa mtoto anapaswa kuwahi kupelekwa hospitalini na kupata huduma mara moja.

 

3. Joto la mwili kushuka au kupanda.

Na hii ni dalili mojawapo ya hatarini ambapo joto la mwili upanda zaidi ya 37.5,sentigrade na wakati mwingine joto la mwili ushuka chini ya 35.5, sentigrade, hali ya joto kupanda sio nzuri kinaweza kuleta magonjwa mengine kama vile degedege na kupungua kwa damu mwilini kwa hiyo inabidi kuweka mwili kwenye usawa 

 

4. Kuwepo na upele mkali ikiandamana na vipele vikubwa vingine au wakati mwingine vinakuwa na .malengelenge, lakini kama ni upele mdogo  huo ni wa kawaida na upona mwenyewe na mtoto uendelee kama kawaida, basi Mama na mkunga baada ya  kuona hali kama hii wanapaswa kutafuta daktari na kuhakikisha mtoto an napoñ.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1190


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Dalili na ishara za Ugonjwa wa kuambukiza.
Magonjwa ya kuambukiza ni maradhi yanayosababishwa na vijidudu kama vile bakteria, virusi, fangasi au vimelea. Viumbe vingi vinaishi ndani na kwenye miili yetu. Kwa kawaida hazina madhara au hata kusaidia, lakini chini ya hali fulani, baadhi ya viumbe Soma Zaidi...

Je unaijuwa ugonjwa wa bawasiri
Katika post hii nitakwenda kukujuza kuhusu ugonjwa wa bawasiri Soma Zaidi...

Nini sababu ya kuchubuka midomo na kuwa myeupe
Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili. Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa Donda koo
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Donda Koo ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea viitwavyo kwa kitaalamu corynebacterium diphtheria, ugonjwa huu ushambulia Koo na unaweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa, mate na Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa hepatitis A
Hepatitis A ni ugonjwa wa kuambukiza wa ini unaosababishwa na virusi vya Hepatitis A. Virusi ni mojawapo ya aina kadhaa za virusi vya Hepatitis vinavyosababisha kuvimba na kuathiri uwezo wa ini wako kufanya kazi. Soma Zaidi...

Mzio (aleji) na Dalili zake
Posti hii inahusu zaidi mzio na Dalili zake ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu mwenye mzio, kuna wakati watu wengine ushindwa kutambua kuwa ni mzio au la, lakini leo tunaenda kujua Dalili za mzio kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Dawa za kutuliza maumivu na kazi zake
Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu. Soma Zaidi...

Dalilili za kukosa oksijeni
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalilili za kukosa oksijeni ambalo kitaalamu hujulikana Kama apnea.kukosa oksijeni ni tatizo ambapo kupumua kwako hukoma na kuanza unapolala. Soma Zaidi...

Dalili za saratani ya damu au uboho.
posti hii inahusu dalili za aratani ya damu au ubobo ambayo kwa jina lingine hujulikana Kama Acute lymphocytic Leukemia (ALL) ni aina ya Saratani ya damu na uboho tishu zenye sponji ndani ya mifupa ambapo seli za damu hutengenezwa. Soma Zaidi...

NJIA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIRUSI VYA VYA UKIMWI NA ATHARI ZAKE
Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .pia  tutangalia  njia za kujikinga na  ugonjwa wa UKIMWI Soma Zaidi...

je Kama utaonekana kupatwa na homa,kichwa,tumbo, kiharisha kwa siku moja( ya kwanza) na vyote kupona siku nyingine (ya pili kupona) pasipo kutumia dawa inaweza kuwa Ni dalili ya ugonjwa wa zinaa ?
Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako Soma Zaidi...

Saratani (cancer)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maradhi ya cancer/saratani Soma Zaidi...