Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)
Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo.
Dalili za ugonjwa wa Homa ya uti wa mgongo.
1.Maumivu ya kichwa.
Tunajua kuwa uti wa mgongo umeenda mpaka kwenye kichwa na pengine maambukizi ujitokeza kwenye sehemu ambayo ufunika ubongo kwa hiyo maumivu ya kichwa utokea kwa sababu ya maambukizi kwenye uti wa mgongo na kwenye sehemu ya kichwa inayofunika ubongo, kwa Sababu bakteria na virusi amba usababisha ugonjwa huu ushambulia sana uti wa mgongo na sehemu ya kichwa hiyo usababisha kichwa kuuma kwa sababu ya maambukizi.
2.Mgonjwa mwenye Homa ya uti wa mgongo uhisi kizunguzungu, hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kichwa ambapo bakteria na virusi ushambulia kwenye sehemu za mfumo wa ubongo na kusababisha kizunguzungu kwa mgonjwa.
3. Hamu ya kula upungua
Mtu mwenye matatizo ya Homa ya uti wa mgongo usababisha hamu ya kula kupungua kwa sababu ya maambukizi ambayo utokea kwa mgonjwa na kusababisha hamu ya kula kupungua na kusababisha mgonjwa hashindwe kula chakula
4. Degedege hasa kwa watoto
Homa ya uti wa mgongo usababisha degedege hasa kwa watoto utokea sana ukiulinganisha na watu wazima, kwa sababu ya maambukizi kwenye ubongo mawasiliano ya ubongo na misuli upungua mtu mzima au mtoto ushikwa na degedege na kusababisha madhara makubwa kwa mgonjwa na watu waliomzunguka.
5. Homa upanda.
Ugonjwa wa Homa ya uti wa mgongo usababisha Homa kupanda kuliko kawaida hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye mwili, Homa kupanda ni kwa sababu system za kwenye mwili zinakuwa sio sawa na hivyo kusababisha Homa kupanda.
6. Kukakama kwa shingo.
Hali hii utokea pale ambapo maambukizi yameenea na kusababisha shingo kukakamaa na kuwa fupi kuliko kawaida, hii pengine inawezekana kuwa sababu ya kukaza kwa misuli kwa sababu ya maambukizi yaliyosambaa mpaka kwenye shingo na kusababisha shingo kukukamaa au pengine ni kwa sababu ya degedege ambayo usababisha shingo kukukamaa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Athari za kula vyakula vyenye sukari nyingi kila siku.
Katika ulimwengu wa sasa, sukari imekuwa kiungo kikuu katika vyakula vingi vilivyosindikwa, hali inayochangia kwa kiasi kikubwa magonjwa yasiyoambukiza. Makala haya yanachambua athari za muda mrefu za ulaji wa sukari nyingi, ikizingatia afya ya moyo, uzito wa mwili, na utendaji wa kimetaboliki, huku ikitoa mikakati ya kitaalamu ya kupunguza matumizi ya sukari kwa maisha marefu na yenye tija.
Soma Zaidi...Inakuwaje unafanya ngono na aliyeathirika na usipate UKIMWI?
Watu wengi wamekuwa na mawazo kuwa ili nipate ukimwi ninatakiwa nishiriki ngono zembe na aliyeathirika mara ngapi? Majibu ya swali hili ni mafupi tu, ni kuwa unaweza kuathirika kwa ngono zembe ya siku moja tu ndani ya dakika chache. Lakini jambo la kuzing
Soma Zaidi...Dalili za macho makavu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO: kuosha mikono, kuwa msafi, kuvaa viatu, maji safi, kuivisha nyama vyema
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo.
Soma Zaidi...Ishara na dalilili za Kichaa Cha mbwa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kichaa cha mbwa ni virusi hatari vinavyoenezwa kwa watu kutoka kwa mate ya wanyama walioambukizwa. Virusi vya kichaa cha mbwa kawaida hupitishwa kwa kuuma.
Soma Zaidi...Kucha langu LA mguu linang'ooka...nini chaweza kuwa tatizo
Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?
Soma Zaidi...