Dalili za jeraha kali kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi dalili za jeraha kali kwenye ubongo, ni majeraha ambayo utokea kwenye ubongo pale ambapo mtu anapata ajali au amepigwa na kitu chochote kigumu kichwni, zifuatazo ni dalili za jeraha kali kwenye ubongo
1. Maumivu makali ya kichwa utokea ambayo ni tofauti na ya jeraha la kawaida, maumivu hayo uweza kudumu zaidi ya maasaa ishilini na manne ingawa bado mgonjwa anakuwa abatumia madawa ya kupunguza maumivu, mabadiliko katika kuona pengine mgonjwa uona kwa shida kubwa na hata kushindwa kufungua macho, na pengine mgonjwa anashindwa kabisa kusimama hali hii usababishwa na kushindwa kufanya kazi kwa mfumo wa nevu unaoelekea kwenye ubongo.
2.Kubadilika kwa mapigo ya moyo.
Kwa sababu ya neva za kwenye ubongo zinakuwa hazifanyi kazi vizuri Kuna mabadiliko yanaweza kutokea kwa mgonjwa ambayo yanahusiana na mapigo ya moyo, pengine mapigo ya moyo uenda mbio sana, pengine uenda taratibu sana kwa hiyo mapigo hayo yanakuwa hayopo kwenye mfumo mmoja wa kwenye mbio au taratibu Bali uchanganya mgonjwa wa namna hii anapaswa kumpelekwa hospitalin mara Moja kwa huduma zaidi.
3.Vile vile na upumuaji wa mgonjwa ubadilika.
Upumuaji ubadilika kwa Sababu mgonjwa upumua haraka haraka na kwa mda fulani mgonjwa upumua pole pole au pumzi huwa fupi na pengine huwa ndefu ,kama una mgonjwa wako na amepata hali ya namna hii unapaswa kumpeleka hospitalini mara Moja Ili kuweza kupatiwa matibabu zaidi, hali hii usababishwa na mshutuko kwenye ubongo ambao ufanya na mifumo mingine mwilini kubadilika kwa hiyo mgonjwa huyu asibakizwae nyumbani.
4.Damu au maji maji yasiyo na rangi kutoka masikioni au puani.
Hali hii utokea hasa kwa wagonjwa wenye majeraha makali kwenye ubongo kwa Sababu Kuna sehemu ambazo zinakuwa zimearibika kwa ndani ambazo upelekea kutoa maji ambayo utokeazea kupitia kwenye masikio au pengine kwenye pua, kwa hiyo baada ya kuona dalili kama hii tutambue kuwa jeraha kwenye ubongo ni kali na mgonjwa anapaswa kupata matibabu ya haraka.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 kitabu cha Simulizi π2 ai web app π3 Kitau cha Fiqh π4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π5 Kitabu cha Afya π6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Dalili za maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa Damu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine huitwa upenyo wa vipindi, hali hii kwa ujumla huathiri mishipa ya damu kwenye miguu, lakini upenyo unaweza kuathiri mi
Soma Zaidi...Dalili na Ishara za upungufu wa muunganisho wa macho.
posti hii inaonyesha dalili za upungufu wa muunganisho wa macho. Upungufu wa muunganisho hutokea wakati macho yako hayafanyi kazi pamoja unapojaribu kuangazia kitu kilicho karibu nawe. Unaposoma au kutazama kitu kilicho karibu, macho yako yanahitaji k
Soma Zaidi...Aina ya kisukari inayojulikana kama Diabety type 1
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisukari Aina ya kwanza ambapo kwa kitaalamu huitwa Diabetes type 1, ni hali ambayo utokea ambapo mwili ushindwa kutengeneza insulini ambayo uweka sukari kwenye hali ya usawa.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kuharisha na sababu zake.
Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu
Soma Zaidi...Choo kuwa kigumu (Constipation): Vyakula na vinywaji vya kusaidia.
Choo kigumu ni changamoto inayowatesa watu wengi, ikiwemo maumivu ya tumbo, kuhisi mzito, na kukosa raha. Mara nyingi, tatizo hili husababishwa na ukosefu wa nyuzi lishe (fiber), kutokunywa maji ya kutosha, au kutokuwa na utaratibu mzuri wa maisha. Habari njema ni kwamba, kwa kufanya mabadiliko machache kwenye lishe yako, unaweza kurudisha mfumo wako wa mmengβenyo wa chakula kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe.
Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe ambao husababisha dalili kama za mafua. Dalili na ishara za Ugonjwa huu ni kati ya kuumwa na mwili kidogo hadi homa kali na kwa kawaida huonekana ndani ya wiki moja au mbili baada ya kuumwa na kupe. Njia bora ya
Soma Zaidi...