DALILI ZA JERAHA LA KAWAIDA KWENYE UBONGO


image


Posti hii inahusu zaidi dalili la jeraha la kawaida kwenye ubongo, jeraha la kawaida utokea kwa sababu mbalimbali kama vile kupata ajali na kugongwa na kitu chochote kichwani,


Dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo.

1. Kuchanganyikiwa au kupoteza fahamu

Ni dalili ambayo ujitokeza hasa kama mtu amepatwa na jeraha kwenye ubongo hali hii utofautiana na jeraha kali kwa sababu kupoteza fahamu na kuchanganyikiwa uwa ndani ya masaa ishilini na manne, na baadae mgonjwa uwa kawaida Ila uhisi maumivu katika kichwa kwa hiyo huduma anayopaswa kupewa na dawa ya maumivu na kuendelea kupumzika na hali huwa kama kawaida .

 

2.Kutokumbuka kilichotokea.

Mgonjwa wa jeraha la kawaida hakumbuki kilichotokea kwa sababu pengine anakuwa amepoteza kabisa fahamu kwa hiyo mara nyingi ukumbuka lile tukio la mwanzoni ambalo utokea kwa hiyo mgonjwa akizinduka mara nyingi uuliza Niko wapi na kwa sababu gani kwa hiyo anapaswa kupewa majibu na kuulizia jinsi anavyojisikia na kwa wakati huu anapaswa kupewa mda wa kupumzika na hapaswi kuulizwa maswali mengi kwa sababu anaweza kugongwa na kichwa.

 

3.Kichwa kuuma kizunguzungu na uchovu.

Kwa mgonjwa aliyepata jeraha la kawaida uhisi maumivu ya kichwa, kizunguzungu na uchovu hii ni kwa sababu ya mshutuko ambao utokea kwenye ubongo kwa hiyo mgonjwa anapaswa kupewa dawa ya maumivu Ili kupunguza maumivu ya kichwa na pia hapaswi kutembea tembea kwa sababu ya kizunguzungu na Akitaka  kwenda sehemu inabidi aende na mtu Ili kuepuka kudondoka na kusababisha matatizo mengine na mgonjwa Upata uchovu kwa sababu pengine wakati wa ajali Kuna sehemu alijikwaruza na hali hii utulia ndani ya masaa ishilini na manne.

 

4. Kutoona vizuri au kuona maruweruwe.

Mgonjwa wa majeraha ya kawaida mara nyingi huwa haoni vizuri na kwa wakati mwingine uona maruweruwe kwa sababu ya mshutuko kwenye ubongo ambao upelekea nevu za kwenye macho na kutenguka kidogo na baadae hali hii utulia, kwa hiyo mgonjwa wa namna hii anapaswa kutumia hata kusinzia kabisa na hatimaye hali huwa kawaida.

 

5. Kichefuchefu na kutapika.

Mgonjwa mwenye majeraha ya kawaida uhisi kichefuchefu na kutapika kwa mda hali hii utokea kwa sababu ya mshutuko ambao uingiliana na mfumo wa umengenywaji wa chakula na kwa hiyo hali hii udumu ndani ya masaa ishilini na manne. Kwa hiyo mgonjwa anapaswa kufanyiwa huduma zote za mtu Mwenye Kichefuchefu kama vile kula vyakula vigumu vigumu mfano mkate na chapati na pia kula kidogo kidogo kwa mda mrefu na pia kukaa wima.

 

6.kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa wagonjwa wenye majeraha ya kawaida kwenye ubongo dalili zao pengine zinaweza kuogopesha wahudumu wa mgonjwa lakini kwa kawaida udumu ndani ya masaa ishilini na manne na mda unaniofuata mgonjwa huwa kawaida na kuendelea na matibabu hasa kupunguza maumivu.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Vyakula kwa wenye matatizo ya macho
Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo wanapaswa kutumia watu wenye matatizo ya macho,ni vyakula ambavyo uhimalisha mishipa na sehemu nyingine za jicho na kufanya jicho lisiwe na matatizo kwa sababu tunajua wazi kuwa vyakula ni dawa. Soma Zaidi...

image Asili ya Madini ya shaba
Posti hii inahusu zaidi asili ya madini ya Shaba, ni sehemu ambapo madini ya Shaba yanaweza kupatikana ni katika mimea na wanyama Soma Zaidi...

image Watu walio hatarini kupata fangasi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya watu walio hatarini kupata fangasi Soma Zaidi...

image Kazi za madini ya zinki
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu, Soma Zaidi...

image Chanjo zinazotolewa nchini Tanzania
Posti hii inahusu zaidi chanjo ambazo utolewa nchini Tanzania, ni chanjo ambazo uzuia Magonjwa ambayo yako katika sehemu mbalimbali za nchi. Soma Zaidi...

image Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)
Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ukoma
Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae. Soma Zaidi...

image Dalili za kuvimba kwa ovari.
  Posti hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa ovari kunakosababishwa na maambukizo ya bakteria na kawaida huweza kusababishwa na magonjwa sugu katika Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke. Soma Zaidi...

image Kucha langu LA mguu linang'ooka...nini chaweza kuwa tatizo
Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo? Soma Zaidi...

image Dalili za fizi kuvuja damu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda. Soma Zaidi...