DALILI ZA KIPINDUPINDU NA NJIA ZA KUJILINDA NA KIPINDUPINDU.


image


Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi.


 

Zifuatazo ni dalili za kipindupindu;-

1.Kuumwa tumbo Mara kwa mara

2.kuharisha

3.kutapika

4.homa

5.Mwili kukosa nguvu kwasababu ya kitapika na kuharisha hii hutokea kukosa maji mwlini pale unapotapika na kuharisha.

 

Tuepuke kula matunda ambayo hajaoshwa ,tunawe mikono kila baada ya kula au kutoka choon n.k

Mwisho;ugonjwa wa kipindupindu ni hatari pale ambapo utakapokuwa sugu hivyo bas ukiona dalili kama hizi ni vyema kuwahi hospitalini.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili na Ishara za mawe kwenye figo
Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako. Soma Zaidi...

image Dalili za ugonjwa wa UTI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ugonjwa wa UTI Soma Zaidi...

image Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni.
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Soma Zaidi...

image Mzio (aleji) na Dalili zake
Posti hii inahusu zaidi mzio na Dalili zake ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu mwenye mzio, kuna wakati watu wengine ushindwa kutambua kuwa ni mzio au la, lakini leo tunaenda kujua Dalili za mzio kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Dalili za kujifungua
Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua. Soma Zaidi...

image Njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito, ni mojawapo ya njia ambazo utumiwa na wahudumu wa afya ili kuweza kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito. Soma Zaidi...

image Je unaweza ukapona macho kama huoni vizuri kwa sababu ya vitamini A,
Jiamini A ni katika vitamini inayojulikana sana kuboresha na kuimarisha afya vya macho na uoni. Tafiti zinaonyesha kuwa kuna kundi kubwa la watoto wanaopata tayizobla kutokuona kutokana na ukosefu wa vitamini A vya kutosha. Soma Zaidi...

image Kujiandaa kwa ajili ya kumuona daktari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya mambo ya kujiandaa kwa ajili ya kumuona daktari Soma Zaidi...

image Aina za kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za kisukari Soma Zaidi...

image Dawa ya maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa ya maumivu ya jino Soma Zaidi...