Posti hii inahusu zaidi Dalili zinazoweza kujitokeza baada ya sehemu ya kupeleka taarifa kwenye ubongo imearibika, kwa hiyo mambo yafuatayo yakijitokeza utajua wazi kuwa kuna matatizo kwenye mfumo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo.
Dalili ambazo ujitokeza kama kuna uharibifu kwenye mfumo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa ili mtu kuona kitu ni lazima kupitia kwenye retina na baadae kwenda kwenye mfumo wa kupeleka taarifa na baadae kwenye ubongo kwa hiyo kuna wakati mfumo huu uharibika kwa hiyo mtu anaweza kuwa na dalili zifuatazo.
2. Maumivu ya macho.
Kuna wakati mwingine mtu anaweza kuhisi kubwa na maumivu ya kawaida ya macho inawezekana kuwa kwa ndani au kwa nje na maumivu hayo udumu kwa mda na mgonjwa akipatwa na hali kama hizi anapaswa kuwahi hospitali ili kuweza kupata matibabu mapema.
3. Mshutuko wa mwanga hasa pale mwanga ukiwa mkali.
Kuna wakati mwingine Mgonjwa anashutuka akiona mwanga ni mkali na pengine utaona anafunika macho kabisa pale mwanga ukija kwenye macho kwa hiyo Mgonjwa akiona dalili hizi anapaswa kuwahi hospitali ili kutibu tatizo hili mapema.
4. Pengine Mgonjwa anaweza kuona rangi rangi.
Hali hii utokea kwa mgonjwa pale tatizo likiwa kubwa anaanza kuona rangi rangi kwa sababu ya mfumo kushindwa kusafilisha ujumbe kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwahi matibabu.
5. Ikiwa tatizo halikutibiwa kwa mda mgonjwa anaweza kushindwa kuona na hivyo akawa kipofu kwa hiyo tunapaswa kuwahi huduma hizi mapema ili tuweze kuepuka kuendelea kuleta matatizo mbalimbali na yaliyo makubwa.
6.Na pia mgonjwa akiwa kwenye tatizo hili la kushindwa kwa mishipa ya kupeleka taarifa kwenye ubongo anaweza pia kuhisi kichefuchefu na kutapika kwa hiyo hali hii ikitokea hasiogope na kuanza kujadili kuwa macho yanaingilia aje na kutapika na kichefuchefu ni kawaida na tunapaswa kujua hilo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Soma Zaidi...Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke
Soma Zaidi...Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken.
Soma Zaidi...Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa.
Soma Zaidi...Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kufichuliwa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto
Soma Zaidi...Ugojwa wa pumu ni hatari na unaweza kutokea ghafla. Lakini je unaweza kusababisha kifo, makalahii itakwend akujibu swali hili
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi
Soma Zaidi...