Dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu

Posti hii inahusu zaidi dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu,ni Dalili ambazo Uweza kujionyesha kwa mtu ambaye ameshawahi kupatwa na tatizo la kizungu Zungu au hajawahi kupata dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.

Dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu.

1. Dalili ya kwanza ni kuona ukungu au kushindwa kuona vizuri.

Kuna wakati mwingine mtu kabla hajapatwa

na tatizo hili la kizungu Zungu kwanza anaanza kuona ukungu au kwa wakati mwingine anashindwa kuona vizuri hali inayosababisha kupata shida aelekee wapi kwa hiyo baada ya kuona hali kama hiyo ni vizuri kabisa kukaa chini na kuomba msaada kwa walio karibu naye.

 

2. Kuhisi kichwa chepesi.

Kuna wakati mwingine mtu anayeelekea kupatwa na kizungu Zungu anahisi kichwa kuwa chepesi hali inayosababisha mtu kujiuliza kinachoendelea na pia kama mtu hajawahi kupatwa na kizungu Zungu na kuona hali kama hiyo ni vizuri kabisa kuomba msaada ili kuweza kusaidiwa.

 

3. Pengine kuna tatizo la kuwepo kwa presha ya kushuka na kupanda.

Kwa kawaida ili mtu aweze kupata kizungu Zungu anakuwa na tatizo la kuwepo kwa presha ya kupanda na kushuka hapa ni kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya mwili inawezekana ni kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi au kwa sha yoyote inayosababisha kupanda na kushuka kwa presha.

 

4. Wakati mwingine mtu anaweza kupata tatizo la kupoteza kumbukumbu, kushindwa na kushindwa kujieleza hali hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ambayo Usababishwa na kuwepo kwa kizungu Zungu.

 

5. Kutokwa na jasho.

Kuna wakati mwingine kunakuwepo na tatizo la kutokwa na jasho kwa sababu ya Maambukizi yanayokuwepo ambayo upelekea kuwepo kwa kizungu Zungu.

 

6. Pengine kichefuchefu utokea kinachotambaa na tumbo kuuma pengine na uchovu na kutetemeka.

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/22/Friday - 07:26:39 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1029


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-