Dalili za kuziba kwa mirija ya uzazi
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Dalili za kuziba kwa mishipa ya uzazi.
1. Dalili ya kwanza ni mabadiliko ya mkojo
Kwa sababu ya kuwepo kwa ku uziba kwa mrija wa uzazi na mkojo rangi yake ubadilika kwa sababu mara nyingine mkojo huwa na rangi ya njano na kwa mara nyingine mkojo uwa na uchafu kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye mrija ya uzazi.
2. Kutokwa kwa damu isiyo ya kawaida.
Kwa sababu ya kuwepo kwa kuziba kwenye mirija ya uzazi kuna tatizo la kuwepo kwa damu ambayo utoka kupitia kwenye uke kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi.
3. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi vile vile kunakuwepo pia na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa kwa hiyo hali usababisha wakina mama kutofurahia tendo la ndoa kwa hiyo ni vizuri kabisa kutibu maambukizi ili kuepuka tatizo hili.
4. Kuhisi kichefuchefu na wakati mwingine kutapika.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye mirija ya uzazi usababisha kichefuchefu na pia wakina mama wengi utapika .
5. Tumbo kuvimba.
Kwa sababu Maambukizi kutoka kwenye mirija ya uzazi yanaweza pia kufika kwenye mmeng'enyo wa chakula na vile kusababisha tumbo kuvimba.
6. Maumivu ya kiuno.
Kwa sababu via vya uzazi mara nyingi vipo kwenye sehemu ya kiuno kwa hiyo kwenye kiuno Maumivu pia uwepo.
7. Kuwepo kwa tatizo la kupungua au kuongezeka uzito kwa ghafla,
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi usababisha sana uzito kuongezeka au kupungua kwa ghafla kwa mtu mwenye tatizo la Maambukizi kwenye via vya uzazi.
8. Kuhi mwili kuchoka .
Kwa sababu ya kuwepo kwa hali ya maumivu ya mara kwa mara pia usababisha na mwili kuchoka na kuleta hali ya mama kutojisikia vizuri.
9. Kuwepo kwa maumivu ya nyonga.
Kwa sababu nyonga ni sehemu mojawapo ambayo huwa ni sehemu mojawapo ambapo via vya uzazi uwepo kwa hiyo na pia maumivu utokea kwenye sehemu ya nyonga.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 web hosting 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
DARASA LA AFYA NA AFYA YA UZAZI
Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.
Soma Zaidi...Kupima ujauzito kwa kutumia chumvi, sukari na sabuni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupima mimba kwa kutumia chumvi sukari na sabuni
Soma Zaidi...Sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa, ni sababu ambazo utokea kwa akina Mama wengi kadri ya wataalamu wametafuta asilimia kuwa asilimia sabini ya wanawake mifuko yao ya kizazi kushindwa kisinyaa.
Soma Zaidi...Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA.
Soma Zaidi...Sababu za kutokea kwa saratani ya matiti
Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
Soma Zaidi...Dalili ninazoziona kwangu chuchu zinauma na sjapata period mwezi huu na nlishiriki tarehe 19 mwezi wa tisa
Nini humaanisha kama chuchu zinauma na hupati period mwanaidi mrefu.
Soma Zaidi...