Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria.
Dalili za maambukizi kwenye milija
1. Harufu mbaya kutoka ukeni, hii ni harufu ambayo utokea kwenye milija na uonekana ukeni hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya milija,
2 maumivu makali wakati wa kujamiiana, hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya milija ambapo uharibi sehemu ya ndani ya uzazi na kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana.
3. Tumbo la chini kuuma au maumivu makali chini ya tumbo, utokea kwa sababu ya uharibifu ndani ya milija
4, Homa, kichefuchefu na kitapika kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi
5, maumivu makali hasa mgonjwa akiguswa sehemu ya milija kwa kupapasa wakati wa vipimo
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya watu walio hatarini kupata fangasi
Soma Zaidi...Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe ambao husababisha dalili kama za mafua. Dalili na ishara za Ugonjwa huu ni kati ya kuumwa na mwili kidogo hadi homa kali na kwa kawaida huonekana ndani ya wiki moja au mbili baada ya kuumwa na kupe. Njia bora ya
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kuharibika kwa mwili ni aina ya ugonjwa sugu wa Akili ambao huwezi kuacha kufikiria kuhusu kasoro katika mwonekano wako au ya kuwaziwa. Lakini kwako, mwonekano wako unaonekana kuwa wa aibu sana hivi kwamba hutaki kuonekana na mtu yeyote
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la Kurithi ambapo Damu inatoka kwa muda mrefu wakati au baada ya jeraha bila kuganda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka/ hypotension
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...