Posti hii inahusu zaidi dalili za maambukizi kwenye ovari, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye ovari na kusababisha matatizo makubwa kama mgonjwa haujatibiwa mapema.
Dalili za maambukizi kwenye ovari
1. Maumivu makali chini yatumbo, hutokea kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ambao ushambulia sehemu ya ndani ya ovari.
2. Maumivu makali kwenye pelvis, kutokana n kuwepo kwa bakteria ndani ya ovari bakteria hawa ueneza sumu ambayo usababisha maumivu makali kwenye pelvis
3. Kutokwa damu ukeni, hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa majeraha ndani ya ovari ambayo huaribu sehemu mbalimbali za uzazi na Damu uonekana ukeni
4. Damu nzito uonekana wakati wa hedhi na yenye mabonge mabonge na pia utoka kwa mda mrefu isiyokuwa ya kawaida
5. Maumivu ya kichwa hutokea lakini sio kwa wote na pengine kwa sababu ya maambukizi Homa upanda
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Haya ni masharti ya mwenye vidonda vya tumbo. Mgojwa wa vidonda vya hatumbo hatakiwi kufanya yafuatayo
Soma Zaidi...Hapa tutaangalia baadhi ya sababu zinazopelekea mdomo kujaa mate na namna ya kutibu tatizo la kujaa kwa mate mdomoni
Soma Zaidi...Muda gani ukimwi huweza kuonekana mwilini ama kugundulika kama umeathirika, ni dalili zipo hujitokeza punde tu utakapoathirika
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya tumbo kitovuni
Soma Zaidi...Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kusababishwa mgongo wAko au kiuno kwa na maumivu, Mgongo ukiwa na maumivu makali Sana yanaweza kusababishwa shida kubwa ata utakapokaa au ukilala au ukitumia bado maumivu yanakuwepo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maradhi ya macho,dalili na matibabu yake
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...