Dalili za macho makavu.

Dalili za macho makavu.

Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo.

1.Tukumbuke kuwa kwenye jicho kuna maji maji ambayo ufanya sehemu ya jicho kufanya kazi yake vizuri na kwa wakati ila kuna kipindi maji maji hayo yanapungua kwa sababu ya sehemu ambayo utengeneza maji maji hayo ushindwa kufanya kazi kwa hiyo tunaweza kuona dalili za jicho kavu kama ifuatavyo.

 

2. Macho yanakuwa mekundu.

Kwa sababu ya kutokuwepo kwa maji maji kwenye jicho sehemu yake utokea wekundu wekundu kwenye jicho ambao unaweza kuonekana moja kwa moja kutoka kwa mgonjwa. 

 

3. Kiasi cha kuona kwa mgonjwa upungua.

Kuna wakati mwingine kiasi cha kupona kunapunguza inawezekana kuona kwa karibu au kuona kwa mbali kwa hiyo Mgonjwa uangaika sana wakati anapotaka kuona kitu.

 

4. Macho huwa na Matongo tongo.

Kwa kawaida macho ya mtu mwenye macho makavu huwa na Matongo tongo yasiyo ya kawaida na ya kuzudi kiasi hasa wakati wa asubuhi kwa hiyo tuwashauri waende hospitali ili kupata matibabu mapema na kuepuka madhara makubwa zaidi ambayo ya aweza kutokea.

 

5.Tatuzi lisipotibiwa mapema upofu unaweza kutokea kwa mgonjwa kwa hiyo ikitokea macho ya mgonjwa huwa makavu na Dalili za hapa zote zimejitokeza mgonjwa anapaswa kuwahi hospitali ili kuweza kupata matibabu kwa sababu Ugonjwa huu unatibika.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2734

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Madrasa kiganjani     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Walio katika hatari ya kupata magonjwa ya ngono

Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye liski ya kupata magonjwa ya ngono, ni watu wanaofanya mambo yanayosababisha kupata magonjwa ya ngono.

Soma Zaidi...
Dalilili za polio

Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.

Soma Zaidi...
Fahamu ugonjwa wa Varicose vein

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa vericose veini, hili ni tatizo ambalo utokea katika mzunguko wa damu hasa kwenye miguu.

Soma Zaidi...
Je, Maumivu ya Tumbo ni Dalili ya Mimba?

​Maumivu ya tumbo ni jambo linaloweza kuleta wasiwasi kwa mwanamke yeyote anayehisi anaweza kuwa mjamzito. Makala hii inafafanua sababu za maumivu haya, kutofautisha kati ya maumivu ya kawaida na yale yanayohitaji tahadhari, na kutoa mwongozo wa hatua za kuchukua.

Soma Zaidi...
Maumivu wakati wa hedhi

​Maumivu wakati wa hedhi, kitaalamu yakijulikana kama Dysmenorrhea, ni changamoto inayowaathiri mamilioni ya wanawake duniani kote. Wakati maumivu mepesi yakichukuliwa kama hali ya kawaida ya mabadiliko ya mwili, maumivu makali yanayomzuia mwanamke kufanya shughuli zake za kila siku yanaweza kuwa ishara ya matatizo makubwa ya kiafya. Makala haya yanajadili aina za maumivu haya, vyanzo vyake vikuu, njia za nyumbani na za kitabibu za kupata suluhisho, pamoja na ukweli wa kisayansi dhidi ya dhana potofu.

Soma Zaidi...
Dalili za madonda ya koo

Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo.

Soma Zaidi...