Dalili za madhara ya figo

Dalili za madhara ya figo

Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.

Dalili

1.Kukojoa Mara kwa Mara asa wakati wa usiku ambapo Figo huchuja mkojo na ikipata madhara hushindwa kufanya kazi na kupelekea mkojo kuwa mwingin.

 

2.maumivu; kikawaida Figo husaidia mifupa sasa ukishindwa kufanya kazi mifupa huvunjika vunjika  kwa watu wazima na kushindwa kukua kwa watoto kwa sababu ya upungufu wa vitamini D inayotengenezwa na figo .

 

3.shinikizo la Damu kuwa juu; kwa sababu ya sumu zinazobakia mwilini .

 

4.damu kupungua kutokana na Figo kishindwa kuchuja uchafu na kishindwa kutengeneza homoni inayosaidia kuchuja chembechembe za Damu.

 

5.kukosa hamu ya chakula; 

 

6;kupata kichefuchefu na kutapika ; dalili hii huonekana mapema kabla Figo haijapata madhara zuru 

7.kuvimba miguu,mikono na usoni pia (oedema)

 

8.kushindwa kukojoa; Figo ukishindwa kabisa kufanya kazi yaan kuchuja mkojo mkojo unashindwa kutoka. 

 

8.tumbo kuuma na kuvimba kwa sababu ya mkojo kishindwa kutoka.

 

9.sumu kwenye mwili; Figo ukishindwa kuchuja mkojo sumu hubaki mwilini na kusambaa na kupelekea madhara mengine.

 

10.mwili kuchoka.

11.kushindwa kulala na kutokuwa makini.

12.kizuzunguzungu kinachotokana na mwili kukosa nguvu na upungufu wa damu

13.mwanamke anaweza kukosa hedhi.

14.mwanaume anaweza kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 3672

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 ai web app     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Ugonjwa wa Saratani ya ini.

Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako.

Soma Zaidi...
Mawe kwenye figo: Sababu na jinsi ya kuepuka.

​Mawe kwenye figo (kidney stones) ni mkusanyiko mgumu wa madini na chumvi zinazotengenezwa ndani ya figo zako. Ingawa mawe haya yanaweza kuonekana madogo, kupita kwao kupitia njia ya mkojo kunaweza kusababisha maumivu makali sana. Makala haya yanaelezea kwa kina kile kinachosababisha mawe haya, jinsi ya kuyatambua, na mikakati madhubuti ya lishe na maisha ili kuzuia kutokea tena.

Soma Zaidi...
Dalili za HIV kwa Mwanaume Baada ya Wiki 2

Makala haya yanaangazia dalili za mwanzo za virusi vya HIV kwa wanaume zinazoweza kujitokeza katika kipindi cha wiki mbili baada ya maambukizi (kipindi cha Acute HIV Infection). Inafafanua jinsi dalili hizi zinavyofanana na mafua ya kawaida, umuhimu wa kutambua ishara hizi mapema, na hatua za kuchukua ikiwemo umuhimu wa kupima na kuanza tiba ili kulinda afya yako na ya mwenza wako.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa macho

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa macho, ni ugonjwa ambao ushambulia zaidi sehemu za nje za macho ambazo kwa kawaida uitwa conjunctiva na cornea hizi sehemu zikipata maambukizi zisipotibiwa mapema uweza kusababisha upofu kwa mgonjwa.

Soma Zaidi...
Je fangasi ikikaa kwa muda mrefu bila kutibiwa ina madhara gani?

Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma post hii kuona nini ameuliza

Soma Zaidi...
Namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.

Soma Zaidi...