Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya dalili za maralia
DALILI ZA MALARIA
Malaria ni oja kati ya magonjwa yanayosumbuwa sana maeneo yenye joto. Malaria husababisha maelfu ya watu kupoteza maisha duniani kila mwaka. Ni mbu mmoja tu ndiye anayeweza kuambukiza malari, mbu huyu ni aina ya Anopheles. Malaria kama ikichelewa kutibiwa inaweza kuathiri ubongo, ini na viungo vinginevyo na hatimaye kusababisha kifo.
Dalili za malaria
1.Homa kali inayofika nyuzi joto 38 ama zaidi
2.Kujihisi mwili wote umoto
3.Maumivu ya kichwa
4.Kutapika
5.Maumivu ya misuli
6.Kuharisha
7.Baridi na kutetemeka
Mara nyingii dalili za malaria hutokea kati ya siku 7 mapaka 18 toka kuambukizwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalilili,SABABU,mambo ya hatari katika Magonjwa ya zinaa (STDs), au magonjwa ya zinaa (STIs), kwa ujumla hupatikana kwa kujamiiana. Vimelea vinavyosababisha magonjwa ya zinaa vinaweza kupita kutoka kwa mtu hadi kwa mtu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kuwepo na maumovu ya tumbe kitomvuni.
Soma Zaidi...Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kusababishwa mgongo wAko au kiuno kwa na maumivu, Mgongo ukiwa na maumivu makali Sana yanaweza kusababishwa shida kubwa ata utakapokaa au ukilala au ukitumia bado maumivu yanakuwepo.
Soma Zaidi...