Dalili za moyo kutanuka

Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka.

Dalili za moyo kutanuka.

1. Dalili ya kwanza ni kupumua kwa taabu.

Kwa sababu moyo unatumia nguvu kusukuma damu kupitia kwenye vizuizu mbalimbali kama vile kwenye mlundikano wa madini na mambo mbalimbali lakini ni kiasi kidogo cha damu ambacho ufika kwenye viuongo vya mwili uangaika Ili kuweza kufanya kazi vizuri na pia pumzi upungua hali ambayo usababisha upumuaji WA shida.

 

2. Kuwepo kwa mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida.

Kwa sababu mbalimbali pakiwemo na kupanda kwa shinikizo la damu usababisha kuwepo kwa mabadiliko ya mapigo ya moyo yanaweza kuwa ya haraka na yanaweza kuwa ya kawaida as u kidogo kutegemea.

 

3. Kujaa na kuvimba kwa mwili hasa miguu na sehemu mbalimbali za mwili, hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye Moyo.

 

4. Vidole kufa ganzi na kukakama

Kwa kawaida moyo ukipata matatizo Kuna sehemu nyingine hukosa damu kabisa kwa sababu ya damu kushindwa kuzunguka sehemu hiyo hali ambayo upelekea kukakama na kufa ganzi kwa baadhi ya mwili mfano kwenye vidole, miguu na sehemu mbalimbali za mwili.

 

5. Maumivu ya kifua au kwa wakati mwingine kifua kinabada.kwa Sababu ya moyo kushindwa kusukuma damu usababisha na mfuko wa upumuaji kuleta shida.

 

6. Kuhisi kizungu zungu.

Kwa kawaida damu ikipungua kwenye mwili kizungu zungu nacho uongezeka kwa sababu ya upungufu wa damu mwilini.

 

7. X-ray.

Kwa kutumia x-ray ni rahisi kuona kama moyo umepanuka, kwa hiyo ni vizuri kabisa kutumia x-ray Ili kugundua kama moyo umepanuka na kutoa matibabu ya kutoshaJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/11/Monday - 02:41:25 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4585

Post zifazofanana:-