Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali
Dalili za mtu aliyegongwa na nyoka
1. Maumivu yanayochoma kwa ndani kabisa
2. Maumivu makali, wekundu kwenye mwili na kuvimba sehemu ambapo nyoka ameuma
3. Mtu hupata kichefuchefu na kitapika kwa sababu ya kuwepo kwa sumu kali
4. Mtu hupata shida katika kuona
5. Mate yanakuwa mengi mdomoni na pengine mtu anakuwa na joto mwilini
6. Pengine matatizo ya kupumua kwa shida hutokea kwa aliyepata shida ya kungatwa na nyoka
7. Mapigo ya moyo hushuka
8. Kizunguzungu hutokea kwa aliyepata na shida kama hiyo
9. Pengine degedege inaweza kutokea
Baada ya kuona dalili kama hizi mgonjwa inabidi apewa huduma ya kwanza na apelekwe hospitali mara moja Ili kuepuka madhara mbalimbali
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa na Ugonjwa unaohusiana na joto ambao hujulikana Kama Anhidrosis ni kutoweza jasho kawaida. Usipotoa jasho mwili wako hauwezi kujipoza, jambo ambalo linaweza kusababisha joto kupita. wakati mwingine inaweza k
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa,
Soma Zaidi...Mvurugiko katika mfumo wa chakula mwilinivunaweza kusababisha maumivu ya tumbo, kuharisha, kutapika na kuchoka pia. Lakini zipo sababu nyingine kama kuwana ujauzito. Nini ufanye endapo unasumbuliwana hali hii
Soma Zaidi...mm nahis miguu pamoja na mikono kuishiwa nguvu ni mgongo kuuma ni dalili za ugonjwa gan ?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea namna na jinsi ya kujikinga au kuzuia Ugonjwa wa ini.
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza maana ya homa ya ini. Pia utajifunza chanzo kinachosababisha homa ya ini. Makala hii itakuwa endelevu hivyo usikose muendelezo wake.
Soma Zaidi...