Dalili za PID

Dalili za PID

Posti hii inahusu zaidi dalili za PID maana yake ni maambukizi kwenye pelvic kwa kitaalamu huitwa pelvic infection disease, ni ugonjwa unaoshambulia sana wanawake na wasichana

Dalili za PID

1.UTI za mara kwa mara

Unapokuwa na  Maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo ya mara kwa mara ni dalili kubwa ya kuwepo kwa maambukizi kwenye pelvis, kwa sababu maambukizi kwenye pelvis usambaa mpaka kwenye kibofu Cha mkojo na kusababisha madhara mbalimbali ambayo mtu akienda kupima atagundulika na UTI kumbe ni maambukizi kutika kwenye pelvis.

 

2.Maumivu chini ya kitovu

Maumivu makali chini ya kitovu ni dalili mojawapo ya kuwa na Maambukizi kwenye pelvis, hii utokea pale ambapo maambukizi kutoka kwenye pelvis I usambaa Hadi kwenye chini ya kitovu na kusababisha maumivu chini ya kitovu, kwa hiyo baada ya kusikia dalili kama hizo mgonjwa anapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu zaidi.

 

3.Kutokwa na uchafu unaotoa harufu mbaya na kuwasha sehemu za Siri.hii ni mojawapo ya dalili za maambukizi kwenye pelvic ambapo bacteria ushambulia sehemu mbalimbali za via vya uzazi na kusababisha madhara ya kutokwa na harufu mbaya ukeni na pia kuwepo kwa  miwasho sehemu za Siri hasa wakati wa kukojoa au kama Kuna majimaji yoyote yamegusa sehemu za Siri pale penye maambukizi.

 

4.Kuvurugika kwa hedhi na mfumo wa homoni.

Kwa sababu ya maambukizi kwenye pelvis I usababisha hedhi kuvurugika na homoni kubadilika hali hii usababishwa na Maambukizi ambayo uenea zaidi kwenye via vya uzazi na kuaribu sehemu mbalimbali ambazo zinahusikana na hedhi kwa hiyo mda mwingine damu utoka kwa mabonge mabonge au pengine kubadilika kabisa kwa sababu ya maambukizi.

 

5. Kutokwa na maji kwenye sehemu za Siri yenye rangi ya kijani na rangi ya njano, hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kusambaa kwenye sehemu za via vya uzazi na kusababisha maji ya rangi isiyo ya kawaida. Kwa hiyo tunapaswa kwenda hospitalini kupima na kutafuta dawa maana huu ugonjwa unatibika haspitalini.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 4994

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?

Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito.

Soma Zaidi...
Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba

Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.

Soma Zaidi...
Aina mbalimbali za mimba kutoka.

Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za mimba kutoka, hizi ni jinsi mimba inavyoonyesha dalili za kutoka na nyingine zinaweza kuonyesha dalili Ila kwa sababu ya huduma mbalimbali za kwanza hizo mimba zinaweza kudhibiiwa na mtoto akazaliwa.

Soma Zaidi...
Fahamu matatizo yanayowapata watoto waliozaliwa kabla ya wakati au mapema (premature)

Kuzaa kabla ya wakati ni kuzaliwa ambayo hufanyika zaidi ya wiki tatu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto au kuzaliwa mapema ni moja ambayo hutokea kabla ya mwanzo wa wiki ya 37 ya ujauzito. Kawaida, ujauzito hudumu kama wiki 40.

Soma Zaidi...
Kazi na mdalasini katika kutibu matatizo ya homoni.

Posti hii inahusu zaidi kazi ya mdalasini katika matibabu ya homoni kwa wanawake.

Soma Zaidi...
Njia huanza kufunguka mda gani kabla ya kujifungua

Mtoto huweza kuzaliwa ndani ya miezi 6 na unaweza kupona. Na huyu mdoe mtoto njiti. Na anaweza kuzliwa kwa njia ya kawaida. Hakuna ushahidi unaiinyesha kuwa njiti hukabiliwanamatatizo ya kitalima kwenye ukubwa wako.

Soma Zaidi...